Agent-47
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 786
- 2,860
Bei ya iPhone tuLaptop yangu ndio vitu vya ndani vya police
Kweli hii kazi laana
Bei ya iPhone tuLaptop yangu ndio vitu vya ndani vya police
Kweli hii kazi laana
Kwani wewe si ulisema nyumbu ni waoga. Sasa mbona kwenye hii habari hakuna uoga? Mbona bado unawaita nyumbu?Nyumbu zimeanza kufurukuta zikikamatwa ni kifungo cha maisha hiyo ndo hukumu ya kuchoma makazi
Nyumbu ni Nyumbu inaweza kufurukuta ikarusha teke moja ila haitaacha kuwa nyumbuKwani wewe si ulisema nyumbu ni waoga. Sasa mbona kwenye hii habari hakuna uoga? Mbona bado unawaita nyumbu?
Kwa kuwa uonevu na ukatili umejaaamo acha wapelekwe kwa darasaMambo yasiwe mengi watu wanaona tarehe 29 mbali sana.
Kumbe mbn ni mtaji wa kukuNyumba imechomwa ikiwa na thamani ya shilingi milioni 2?
Hilo banda au kitu gani.
Kwa hiyo kumbe unawaita Nyumbu bila sababu ya msingi?Nyumbu ni Nyumbu inaweza kufurukuta ikarusha teke moja ila haitaacha kuwa nyumbu
Sababu ya msingi ni NyumbuKwa hiyo kumbe unawaita Nyumbu bila sababu ya msingi?
Halafu ulikuwa unasema eti wewe sio CCM kwamba haupo upande wowote. Nini kimetokea tena, umechoka kupretend?Sababu ya msingi ni Nyumbu
Huyo polisi alikua single?Kazi imeanza huko! Ni alarm kwa polisi sasa
==============
Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Polisi Kata wa Kata ya Chitete, iliyopo Kijiji cha Ikumbilo, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe na kuteketeza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni.
Akizungumza leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Augostino Senga, amethibitisha tukio hilo na kusema lilitokea usiku wa Oktoba 22, 2025, wakati askari huyo, Mkaguzi wa Polisi Nsajigwa Mwajeka, akiwa kwenye majukumu maalumu.
Amesema moto huo uliteketeza vyumba viwili vya nyumba hiyo na kugunduliwa na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Chitete, Darkson Kamendu.
Miongoni mwa vitu vilivyoharibiwa ni nguo za kiraia, sare za polisi, vyombo vya nyumbani, mahindi, kitanda, godoro na vitu vingine vidogo vidogo.
View attachment 3493001
Sijajua.Huyo polisi alikua single?
We jamaa umefanya nimecheka Kwa sauti!Mtu unakaa na maindi ndani.
Hayo mahindi ndani ....Sijajua.
Tv 400k
Kitanda na godoro 250k
Meza 70k
Feni 75
Nguo 85k
Friji 350k
Vyombo 40
Kabati la nguo 90k
Bado wame inflate hiyo thamani.
nyumba ya milioni 2 ikoje wakuu? Mkuu hebu sindikiza na kapicha ili fundi maiko afanye analisis.