Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Nipo mahali nataka nichome kituo cha PolisiTutakukamata tu Hamisi Mwakipesile.
Nipo mahali nataka nichome kituo cha PolisiTutakukamata tu Hamisi Mwakipesile.
Umasikini unawafanya wawe na roho mbaya,Ila haya majamaa yana njaa kali sana sijui yanavimbia nini
Ila mkuu wakivaaga zile Beto zao utadhani na wao wanatokea ushuani.Mkuu, unazijua kota za polisi?
Nyakati zimebadirika ni kuomba sana MunguNyumbu ni Nyumbu inaweza kufurukuta ikarusha teke moja ila haitaacha kuwa nyumbu
Kuna tisheti mpya zimeandikwa:Nipo mahali nataka nichome kituo cha Polisi
Sio waoga tena?Nyumbu zimeanza kufurukuta zikikamatwa ni kifungo cha maisha hiyo ndo hukumu ya kuchoma makazi