100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kumeanza kuchangamkaaaKazi imeanza huko! Ni alarm kwa polisi sasa
==============
Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Polisi Kata wa Kata ya Chitete, iliyopo Kijiji cha Ikumbilo, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe na kuteketeza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni.
Akizungumza leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Augostino Senga, amethibitisha tukio hilo na kusema lilitokea usiku wa Oktoba 22, 2025, wakati askari huyo, Mkaguzi wa Polisi Nsajigwa Mwajeka, akiwa kwenye majukumu maalumu.
Amesema moto huo uliteketeza vyumba viwili vya nyumba hiyo na kugunduliwa na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Chitete, Darkson Kamendu.
Miongoni mwa vitu vilivyoharibiwa ni nguo za kiraia, sare za polisi, vyombo vya nyumbani, mahindi, kitanda, godoro na vitu vingine vidogo vidogo.
One Two, One Two wanatest mic kwanza..Tumeanza
We si unaelewa maisha ya askari wetu lakini..Nyumba imechomwa ikiwa na thamani ya shilingi milioni 2?
Hilo banda au kitu gani.
Nyumba nzima ina mali za million 2Kazi imeanza huko! Ni alarm kwa polisi sasa
==============
Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Polisi Kata wa Kata ya Chitete, iliyopo Kijiji cha Ikumbilo, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe na kuteketeza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni.
Akizungumza leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Augostino Senga, amethibitisha tukio hilo na kusema lilitokea usiku wa Oktoba 22, 2025, wakati askari huyo, Mkaguzi wa Polisi Nsajigwa Mwajeka, akiwa kwenye majukumu maalumu.
Amesema moto huo uliteketeza vyumba viwili vya nyumba hiyo na kugunduliwa na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Chitete, Darkson Kamendu.
Miongoni mwa vitu vilivyoharibiwa ni nguo za kiraia, sare za polisi, vyombo vya nyumbani, mahindi, kitanda, godoro na vitu vingine vidogo vidogo.
View attachment 3493001
Banga la kuku ilooNyumba nzima ina mali za million 2