GE2025 Songwe: Nyumba ya Polisi yachomwa Moto na watu wasiojulikana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani wewe si ulisema nyumbu ni waoga. Sasa mbona kwenye hii habari hakuna uoga? Mbona bado unawaita nyumbu?
Nyumbu ni Nyumbu inaweza kufurukuta ikarusha teke moja ila haitaacha kuwa nyumbu
 
Huyo polisi alikua single?
 
nyumba ya milioni 2 ikoje wakuu? Mkuu hebu sindikiza na kapicha ili fundi maiko afanye analisis.
 
Tv 400k
Kitanda na godoro 250k
Meza 70k
Feni 75
Nguo 85k
Friji 350k
Vyombo 40
Kabati la nguo 90k

Bado wame inflate hiyo thamani.

TV inch 32 -Tsh 250,000


Feni hatumii Songwe halinya hewa inaruhusu.

Friji hana uyo. Kama anayo yale Homebase mlango mmoja kama bedside Laki 2 na nusu.

Kabati la nguo tumepigwa, wazee wa kutundika nyuma ya mlango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…