Songwe: Waziri Kindamba apongezwe kwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa kwanza Tanzania kutambua Mifugo katika halmashauri zake zote

Soma hilo andiko kwa kutulia utaelewa vizuri
"... kama nchi hatujawahi kunufaika na faida zote zitokanazo na Mifugo kisawa Sawa ..."' OK! Ng'ombe wakipigwa label itarahisisha utambuzi ili walipiwe kodi ipasavyo.
 
"... kama nchi hatujawahi kunufaika na faida zote zitokanazo na Mifugo kisawa Sawa ..."' OK! Ng'ombe wakipigwa label itarahisisha utambuzi ili walipiwe kodi ipasavyo.
Kodi hata bila lebel wanaweza kulipiwa tu,

Hizi hereni ni muhumu zaidi ya Kodi
 
Kindamba ni hardworking man tangu utoto wake
 
Yaani ujinga ni kitu kibaya sana " yaani ng'ombe kuwekwa heleni ni hoja ya msingi?" Wewe unaesifia Rc,kwa zoezi la kuweka heleni ng'ombe je jiulize ng'ombe wako akiwekwa heleni wewe unafaidikaje kwenye mfumo wa kipato chako? Rc ndy ametoa hela za heleni Au ametumia kodi za wananchi? Africa kuna wakati watu hufikili kwa kutumia mikia sio Medula oblangata.
 
Povu la nini? Hereni zinamanufaa kwa mkulima wewe umamifugo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ