Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
- Thread starter
- #41
Inaongeza thamani ya Mifugo na wafugajiIna manufaa gani kwa mfugaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaongeza thamani ya Mifugo na wafugajiIna manufaa gani kwa mfugaji?
Tuliambiwa katika Uongozi wake zaidi ya laini milioni mbili zikuwa abandoned na Wateja.Nadhani utukumbushe kipi kibaya alifanya pia
Kivipi? Fafanua.Inaongeza thamani ya Mifugo na wafugaji
Sasa ni laini ngapi by comparative advantageTuliambiwa katika Uongozi wake zaidi ya laini milioni mbili zikuwa abandoned na Wateja.
Soma hilo andiko kwa kutulia utaelewa vizuriKivipi? Fafanua.
"... kama nchi hatujawahi kunufaika na faida zote zitokanazo na Mifugo kisawa Sawa ..."' OK! Ng'ombe wakipigwa label itarahisisha utambuzi ili walipiwe kodi ipasavyo.Soma hilo andiko kwa kutulia utaelewa vizuri
Kodi hata bila lebel wanaweza kulipiwa tu,"... kama nchi hatujawahi kunufaika na faida zote zitokanazo na Mifugo kisawa Sawa ..."' OK! Ng'ombe wakipigwa label itarahisisha utambuzi ili walipiwe kodi ipasavyo.
... hereni zitarahisisha kujua ng'ombe yupi yuko wapi ili kurahisisha ufuatiliaji.Kodi hata bila lebel wanaweza kulipiwa tu,
Hizi hereni ni muhumu zaidi ya Kodi
Nami nahitaji heleni kwa ajili ya nguruwe.Hizi hereni zinapatikana wapi niko hapa DSM na ngombe wangu wa maziwa nataka wapendeze
Nguruwe HAPANA, Kwa Tanzania hawako katika Utambuzi huuNami nahitaji heleni kwa ajili ya nguruwe.
Nipate wapi?
Kindamba ni hardworking man tangu utoto wakeHongera Sana kwa mkuu wetu wa mkoa wa Songwe, anafanya kazi nzuri Sana na ya kutukuka Tangia alipohamishiwa mkoani kwetu akitokea mkoani njombe, hata suala la usafi nalo amekuja kuhakikisha Songwe inakuwa Ni Safi muda wote na kila eneo linakuwa na hewa safi
sahihi kabisa nawaona😂Nchi hii inavijana wa hovyo Sana,
But nchi za wenzetu hata Nguruwe wanatambuliwa piaNguruwe HAPANA, Kwa Tanzania hawako katika Utambuzi huu
Itapendeza SanaInapendeza...
Matusi ni yepi hapo BAVICHAMuwe mnaangalia vya kusifia mengine ni matusi!!
Yaani ujinga ni kitu kibaya sana " yaani ng'ombe kuwekwa heleni ni hoja ya msingi?" Wewe unaesifia Rc,kwa zoezi la kuweka heleni ng'ombe je jiulize ng'ombe wako akiwekwa heleni wewe unafaidikaje kwenye mfumo wa kipato chako? Rc ndy ametoa hela za heleni Au ametumia kodi za wananchi? Africa kuna wakati watu hufikili kwa kutumia mikia sio Medula oblangata.
Povu la nini? Hereni zinamanufaa kwa mkulima wewe umamifugo?Yaani ujinga ni kitu kibaya sana " yaani ng'ombe kuwekwa heleni ni hoja ya msingi?" Wewe unaesifia Rc,kwa zoezi la kuweka heleni ng'ombe je jiulize ng'ombe wako akiwekwa heleni wewe unafaidikaje kwenye mfumo wa kipato chako? Rc ndy ametoa hela za heleni Au ametumia kodi za wananchi? Africa kuna wakati watu hufikili kwa kutumia mikia sio Medula oblangata.
😍😀😀😀😀Kufa kufaana,
Bei ya juu nje ya nchi sio ndani