Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya


Wewe dada nimekupenda bure, ni km ulikua unaandika nnachowaza.... asipouona ushaur huu bas hakuna ushauri mwingine utaomfaa
 
Bibie kwani mumeo ulizaliwa nae hadi mkatengeneza bond? Kama mlikutana ukubwani na mkatengeneza bond basi amini kuwa bond inatengenezwa wakati wowote ule.

It seems hauko tayari kuwa mama wa huyu mtoto, ndio maana unajiuliza sana. Hata kuanzisha uzi pia ni dalili ya hilo.

Ulifahamu uwepo wake hata kabla ya ndoa yenu, je hamkujadiliana mstakabali wake? Kumfanyia shoping haimaanishi unamkubali, maana kama baba katoa pesa mwanae afanyiwe shoping nawe ndoa waitaka unadhani utafanya nini? Ungemuhitaji ungesisitiza aje angalau kipindi cha likizo ili mtengeneze hiyo bond ulokazana nayo.

Kama ndani ya nafsi yako unahisi kusita, unahisi hautokuwa mama bora kwa huyo mtoto its better ukamuacha kwa mama yake ila mkahakikisha mahitaji yake anayapata ipasavyo.
 
Relax beautiful, take everything easy, don't complicate anything before it becomes complicated!Anavyoanguka ng'ombe ndivyo anavyochinjwa sio lazima umburuze kibla,Wewe ni mama wa huyo mtoto upende usipende,hata mtoto anawaza hivyo na hayo maisha kwake yatakuwaje,msaidie kuyafanya rahisi nawe upande wako yatakuwa rahisi
 
Bwana we hata usitafute justifications za madhambi yako. Wewe kama ni mzinzi ni mzinzi tu. Huyo mama mmeshatengeneza muunganiko wa milele haijalishi mtoto yuko wapi. Je ukimchukua unafikiri mama yake hatopiga simu kutaka kumjulia hali mwanae? Bado utatafuta tu kisingizio cha kufanya madhambi yako. Akili ulipewa, itumie.
 
Senkyu vere machi. Anatafuta tu justification hapa
 
Tukisema ya polygamy mtaanza kelele
 
Hapana anakosea: alijua kama kuna mtoto, hajafanyiwa surprise ndoani. Kama alijua hana wito wa kulea mtoto wa kambo, angesema mapema asiolewe au waoane lakini wakiwa wamekubaliana kuwa mtoto atakaa kwa mama yake.
Walaa huyo mke hakosei, kulea mtoto yeyote asie wako ni kipaji. Kama amejigundua hana hicho kipaji its better alivyokataa kuliko akubali kumpokea kishingo upqnde halafu aje asimangwe kwa kumnyanyasa mtoto.
 
Sio kelele, bali fact. Usipoamua kuridhika hata upewe wanawake mia 3 hutoridhika bado. Na huyu ni issue tofauti, kwani polygamy inaruhusu kulala na mzazi mwenzio?
Angeifanya mwanzo kila mke angekaa na mwanawe. Jamaa anaonekana bado anampenda mwanamke wake wa kwanza
 
Angeoana sasa na baby momma. Sio mtu mmeachana, kaenda kuoa kwingine afu wewe unabaki mchepuko. Yaani unatoka kuwa main chick unahamia kuwa side ostrich pyeeee
Angeifanya mwanzo kila mke angekaa na mwanawe. Jamaa anaonekana bado anampenda mwanamke wake wa kwanza
 
Bwana we hatSan

Nasoma comments zako na Heaven Sent natabasamu huku mnaandika Fact mbarikiwe
 
Zawad ni kumjali tu na kumtunza kwa kadir ya uwezo ila cha kulipa hakuna
 
Ubinafsi sina kwa kweli. Ningekuwa nao nisingekubali hata aje. Mama wa mtoto wala hayuko kwenye picha na hata malezi mtoto kalelewa na grandparents kuanzia mapema kabisa less than 3 years old.
 
 
Unataka kujiandaa kisaikolojia kwani unaletewa fisi ufuge? We jilazimishe hakikisha anapata chakula, mavazi, malazi na elimu kama wanao. JILAZIMISHE maana kumpenda mtu si uamuzi. Hatuchagui kupenda. Si lazima umpende, ila mahitaji yake ni lazima.
Kama unaishi na mtu na humpendi si itakuwa unafiki jamani! mimi sijawahi mchukia coz hamna mtu ana apply azaliwe. Nimeshea tu kupata ushari na iwapo kuna maandalizi yoyote ambayo natakiwa niwe nayo haswa ya kisaikolojia basi nisaidiwe kuyajua. Lakini suala sijui la chakula, mavazi, malazi, elimu hakuna shida. Anapata na ataendelea kupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…