witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Wanaume kwa fix mmh....eti DNA[emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787]Dalili mbaya nilizoona kwenye maandishi yako
1.Ukijiona unaanza kujisemesha "ninge" "ange" "tunge"
2.Hapo ulipoandika ulifahamishwa kwamba kuna kakid ka nje dakika chache kabla ya ndoa
3.Kuongelea suala la DNA wakati hujui alipopita/anapopita huyo mume wako...hiyo ni mbinu tu kaitumia mume wako kukuchota akili ,huyo ni mwanae 100%
4.Bond,bond na mtu huwa inatengenezwa haijalishi mmekutana akiwa na umri upi
Kimsingi kama mwanaume kaamua kumleta mwanae hiyo ni dalili nzuri kwako,kakuamini...usivunje uaminifu na upendo uliopo kati yako na mume sababu ya mtoto
Kama una roho mbaya jitahidi upunguze ama kama utaweza uiache
Comment ya chapwa24 pia imenifunza jambo huko mbeleni nikukutana na jambo kama lako
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app