JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
😄Eti unaletewa fisi ufuge, mbavu zangu mie lol[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄Eti unaletewa fisi ufuge, mbavu zangu mie lol[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha eti mambo ya bond ni ya wazungu! sawa mkuuWeee mlee km hayo ya bond ni wazungu sisi tunaangalia anakula anavaa nguo safi anaenda shule hayo ndiyo mahitaji muhimu sana kwa huyo dogo.
Sijapaniki in such lakini mawazo ya hapa na pale hayakosi. Kwanza tayari mtoto ni adolescent so ni tofauti na mtoto under five or 6,7. Handling ya adolescent si mnajua! halafu najua maswali kutoka kwa waja yatakuwepo. Huyo ni nani? alikuwa wapi? kumbe mume wako alikuwa na mtoto? maswali hayo najua yatakuwepo sana tu but nayo yatapita. Kuna siku tulikuwa mahali na huyo mtoto sasa baba yake hakumu introduce. Wale ndugu wawili tuliyokuwa nao ( ndugu upande wa mume wangu) hiyo sehemu wakaniuliza kwani huyu nani. Nikawaambia. Jamani jibu nililopata? Khaaa! eti its a big joke. Hawezi kuwa mtoto wake. Sasa mambo gani tena hayo! maneno kama hayo sio mazuri hata. Ukweli mtoto hafanani na mr labda anafanana na mama yake sijui. Mama yake mimi sijawahi muona. All in all !Kwa kuji evaluate mwenyewe mimi ni mama bora tu sina mambo ya manyanyaso. Niko tu positive. Mengine yatajiset huko mbele kwa mbele kama wadau wengi hapa ambavyo wamesema. Maisha yanaendelea na kazi lazima iendeleee!Unaonekana umepaniki pole sana ukivaa uhusika kweli ni kitu kigumu lakin pambana nacho hamna namna
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Bond, upendo utajengeka tu automatically kutegemea na ninyi wenyewe. Ila cha msingi ni mpokee na mtreat kama ambavyo unawatret watoto wako. Kila mzazi ana parenting style, so mlee kama unavyowalea watoto wako wengine. Kwa kuwa alikuwa analelewa na mama yake, inawezekana yakawa ni malezi ya aina tofauti na ya kwako; so kama kuna vya kubadilisha vibadilishe taratibu na kwa upendo na yeye anaweza akaadapt taratibu kadri anavyokaa na wadogo zake: kuna mengine hutoweza kuyabadili na as long as hayana tatizo basi unayaacha tu. Isijeonekana kana kwamba unajifamya wewe malezi yako ndiyo perfect kuliko ya mama yake; mkaanza mtimbwili.
Yes kuanza kumlea mtoto ambaye tayari ana ufahamu wake sio rahisi sana tofauti na ukianza kumlea mtoto tangu akiwa mdogo. Kuna watoto ni wema tu naturally, labda na mama yake ndiyo wale wenye hekima kashamwambia aje aishi na wewe vizuri so mtajikuta tu taratibu mambo yanakaa sawa.
Au anaweza akaja ashaambiwa kuwa mama wa kambo ni watesaji, au kashajazwa sumu kuwa huyu ndiyo kasababisha baba yako na mama yako wasiwe pamoja, so anakuja ameshajipanga. Don't fight with the kid, prove him/her wrong kwa moyo wako mweupe kwake. Ifike hatua mtoto mwenyewe aanze kujiuliza mbona niliyokuwa naambiwa sio nayoyaona. Akizidi kukuletea majaribu, mkabidhi baba yake.
Kama umeolewa kwenye familia yenye mawifi wanaojirambua basi kheri. Ila kama ndiyo umeolewa kwenye hizi familia zenye mawifi wasiostaarabika, jiandae kisaikolojia kuziba masikio na kujifanya bubu. Maana mawifi wanawatumiaga sana watoto wa kambo kujiingiza kwenye ndoa za kaka zao na kuleta mitafaruku, unless ukute mtoto ana akili akagoma kutumika au baba ni mkali akawanyamazisha dada zake. But all in all, mtreat vizuri huyo mtoto, akija kukushukuru baadaye sawa, asipokushukuru sawa pia; ila as long as ulimtendea mema wakati unatimiza wajibu wako, basi utakuwa na amani. Hata watoto wetu wa kuwazaa wengine hawana shukrani pia
Tatu usiwe defensive na epuka maneno yoyote ya kumkumbusha huyo mtoto kuwa si mtoto wako. Akikosea muadhibu kama mtoto aliyekosea sio ndiyo unaanza "aah umetumwa na mama ako eeh, ntakukomesha", sijui umenishinda tabia nenda tu kwa mama ako; mtoto wako akikushinda unampelekea nani? Kama ambavyo watoto wako wa kuwazaa wanaweza kuwa na tabia za ajabu, hata mtoto wa kambo anaweza kuwa na tabia za ajabu vilevile; so deal naye kama ambavyo ungedeal na mwanao wa kumzaa
Usiache kujiombea na kumuombea kama unavyowaombea watoto wako, akiwa mtoto mwema ni faida kwenu wote, na akiwa jaribu basi amini ni mzigo wenu nyote pia. Panda mbegu njema kwa huyo mtoto, regardlessly. Ombea amani ya nyumba yako na watoto wako wote.
Hayo mambo ya baba yake kusema sijui atapima DNA sijui hawajafanana, muachie baba mtoto. As long as kamleta nyumbani kwenu na kukwambia huyo ni mtoto wake, basi mpokee na kumlea vizuri.
Sijapaniki in such lakini mawazo ya hapa na pale hayakosi. Kwanza tayari mtoto ni adolescent so ni tofauti na mtoto under five or 6,7. Handling ya adolescent si mnajua! halafu najua maswali kutoka kwa waja yatakuwepo. Huyo ni nani? alikuwa wapi? kumbe mume wako alikuwa na mtoto? maswali hayo najua yatakuwepo sana tu but nayo yatapita. Kuna siku tulikuwa mahali na huyo mtoto sasa baba yake hakumu introduce. Wale ndugu wawili tuliyokuwa nao ( ndugu upande wa mume wangu) hiyo sehemu wakaniuliza kwani huyu nani. Nikawaambia. Jamani jibu nililopata? Khaaa! eti its a big joke. Hawezi kuwa mtoto wake. Sasa mambo gani tena hayo! maneno kama hayo sio mazuri hata. Ukweli mtoto hafanani na mr labda anafanana na mama yake sijui. Mama yake mimi sijawahi muona. All in all !Kwa kuji evaluate mwenyewe mimi ni mama bora tu sina mambo ya manyanyaso. Niko tu positive. Mengine yatajiset huko mbele kwa mbele kama wadau wengi hapa ambavyo wamesema. Maisha yanaendelea na kazi lazima iendeleee!
Hahaha comment yangu bora kabisaImagine kupiga simu kila wakati kuulizia mtoto anaendeleaje, mara mpe simu mwanangu niongee naye, mara utume pesa unakuwa kama unahudumia familia mbili, kwa watu ambao mlishawahi kukutanisha vikojoleo mkipigiana simu mara moja mbili au ukienda kumtembelea mtoto kwa mamake, ni mara chache sana utakosa kukumbushia kama binadamu mwenye madhaifu.
Kukata mzizi wa fitna ni kuweka mazingira ya kutokuwa na sababu ya kuwasiliana. hata hivyo , kama yeye anaona hiyo ni issue mwache, kuna siku atakuta mtoto wa pili kwa mchepuko. na hilo litakuwa fundisho kwake, manake kama yeye ana watoto na yule ana watoto hapo kipimo kitakuwa nani bora kwasababu kote kuna watoto wa kutosha. nitaawaacha wapambane mbabe niendelee naye.ndivyo akili za wanaume zilivyo.
Unasema nisubiri agundue tunapasha kiporo...simwogopi hata nusu, na wala siwezi kukataa akiuliza, yeye mwenyewe nafikiri kama mtu mzima anajua kinachoendelea kama watu mnawasiliana mara kwa mara namna ya kulea mtoto wenu, kuna mengi mnaweza kujadili na kujadili na kukumbushana story n.k
Hii ndio perception ya watu kwa baadhi ya step mothers. Roho mbaya hiyo vipi! roho mbaya labda unayo wewe na mawazo yako negative towards wengine. Mimi nimeshaandika toka mwanzo roho mbaya sina. Na ningekuwa nayo wala asingesema anamleta mtoto.Nilichojifunza una roho mbaya inaonekana umepata mshituko kama vile ndio umeambiwa Leo ungekua kama sisi mama yetu wa kambo mzee alimletea watoto 6 na kila mtoto na mama yake lakn katulea vizuri tumekua na tunamtunza mpaka mzee analalamika tunampendelea bi mkubwa
Yes! ushauri wake nimeuelewa sana na hata yeye kanielewa vizuri concern yangu. NamshukuruFuata ushauri huu
Asante kwa ushauri na ushuhudamamy acha uoga, hayo mabond sijui nn ni terminology tu. Nililetewa mtoto mkubwa tu na alyekua mume wang. Alikuwa anapata tabu mwanzoni akawa ananiita mama mdogo nikaishi nae kama mwanang nikawazoesha watoto wangu kumuita kaka.
miaka ikapita akaanza kuniita mama mwenyewe bila kuambiwa. Had nilipohama kwenda sehem nyingine walijua nna watoto wa3 yeye akiwa wa kwanza na hakuna aliyejua sio mtoto wang na sikumueleza mtu maana hayawahusu.Ninavyokwambia hapa ni miaka imepita nimeachana na baba yake lakini mtoto bado anaona mimi ni mama yake ananipigia simu kila apatapo nafasi. Na kasema mwezi wa 6 akifunga shule anaomba aje kukaa kwangu (yupo form 2 ss).
Bond inakujaga naturally bila kutengenezwa, kwa malezi niliyompa hiyo bond tuliyonayo haiwezi kufa milele. So be a mother sio mama wa kambo.
Nawasalimu wote.
Kama mada inavyojieleza.
Mume wangu amenitaarifu anamleta rasmi mtoto wake ambae alikuwa haishi na sisi kuja kuishi na sisi. Wakati nasubiri siku ifike lazma nijiandae.i. Sina bond nae wala mazoea nae zaidi ya kumuona hiyo mara chache na sio kwamba alikuja nyumbani.
Awali ya yote sikuwahi kuwaza kuwa mama wa kambo katika maisha yangu. Dakika za mwisho kabla ya kuingia kwenye ndoa nikapewa hizo habari na nilipoambiwa mtoto hakuletwa immediately kuishi na sisi na sikujua kwanini haikuwa hivyo. Pamepita miaka mingi ndiyo analetwa.
Nifanye maandalizi yapi kisaikolojia, kimalezi nk maana nimezoea kuishi na wanangu tu na watu wanajua nina watoto hao tu. Simchukii wala nini hata shopping nimefanya sana tu kwa ajili yake ila hakuwahi kuja nyumbani hata siku moja. Kwa mimi ingekuwa better off angeletwa mapema kabisa kuliko sasa ambapo bond nae sina na wanangu nao hawana bond nae na ni mwaka huu tu wameambiwa ni ndugu yao wa damu wakashangaa mbona hawakuambiwa jambo hilo rasmi japo waliwahi muona mara 2.
Yaani waliambiwa huyu ndugu yenu lakini kivipi hawakuambiwa. Sasa mwenzangu sikujua kwanini ame act that way kutuweka mbali nae. Kwangu huenda angeletwa mapema ingekuwa bora zaidi. Bonding inakuwa easy lakini pia hata malezi angekua kulingana na aina ya malezi ambayo mimi na mwenzangu tunatoa. Babake mwenyewe hata bond nae pia siioni japo matunzo anatoa perhaps hii nayo imechangiwa na kwamba ana doubts zake ambazo amekuwa nazo kwa miaka mingi sana mpaka kusema atampima DNA ila hakuwahi kupima na miaka imeenda now sidhani kama anaona haja ya kumpima tena after all amekuwa akitoa matunzo na kusomesha.
Perhaps na yeye anatakiwa kujiandaa kisaikolojia sijui maana naonaga tu kama hajamu accept fully ila tu afanyeje maana wakati mwingine anasema hafanani nae hata kitu kimoja. Wenye uzoefu dondosheni mawili matatu kwa ajili ya hili jambo.
Natanguliza shukrani!
Maelezo kanipa na hata tarehe kanipa na sababu kanipa. Mengi ninayopitwa nayo ni yapi kwa mfano? Mimi nampokea na maandalizi nafanya. Hiyo haina tatizo.Fungua moyo mwanamke mwenzangu......... huyo mtoto ulimjua na ulimkuta.
Mpokee kwa moyo mmoja bila kwanini kwanini na Mungu atakubariki..........
Pia hadi mume kaamua kumleta bila maelezo kwako jiangalie, utakua unapitwa na mengi kwa sababu ambazo labda huzijui
Unaendeleaje? ulimaliza ile ishu ya kumpa pigo takatifu baba mtoto wako?Acha ubinafsi wewe ,akija si ndo utabond naye, wasiwasi wako ni hivo vihela vya jamaa ambavyo mama wa huyo dogo kachangia kwa asilimia nyingi,huijui kesho,so mpokee mtoto,mlee Kama mwanao , mengine yatajiset, kausha huyo ndo lango la hela la baba yake,yangu ni hayo tu,btw hawez kula kila ya mchele kwa siku Mamie🤣🤣
Be positive, naona kama umejiandaa na mapambano. Be positive please, kulea mtoto wa mmeo si dhambi. Narudia tena, be positive na Mungu akusaidieNawasalimu wote.
Kama mada inavyojieleza.
Mume wangu amenitaarifu anamleta rasmi mtoto wake ambae alikuwa haishi na sisi kuja kuishi na sisi. Wakati nasubiri siku ifike lazma nijiandae.i. Sina bond nae wala mazoea nae zaidi ya kumuona hiyo mara chache na sio kwamba alikuja nyumbani.
Awali ya yote sikuwahi kuwaza kuwa mama wa kambo katika maisha yangu. Dakika za mwisho kabla ya kuingia kwenye ndoa nikapewa hizo habari na nilipoambiwa mtoto hakuletwa immediately kuishi na sisi na sikujua kwanini haikuwa hivyo. Pamepita miaka mingi ndiyo analetwa.
Nifanye maandalizi yapi kisaikolojia, kimalezi nk maana nimezoea kuishi na wanangu tu na watu wanajua nina watoto hao tu. Simchukii wala nini hata shopping nimefanya sana tu kwa ajili yake ila hakuwahi kuja nyumbani hata siku moja. Kwa mimi ingekuwa better off angeletwa mapema kabisa kuliko sasa ambapo bond nae sina na wanangu nao hawana bond nae na ni mwaka huu tu wameambiwa ni ndugu yao wa damu wakashangaa mbona hawakuambiwa jambo hilo rasmi japo waliwahi muona mara 2.
Yaani waliambiwa huyu ndugu yenu lakini kivipi hawakuambiwa. Sasa mwenzangu sikujua kwanini ame act that way kutuweka mbali nae. Kwangu huenda angeletwa mapema ingekuwa bora zaidi. Bonding inakuwa easy lakini pia hata malezi angekua kulingana na aina ya malezi ambayo mimi na mwenzangu tunatoa. Babake mwenyewe hata bond nae pia siioni japo matunzo anatoa perhaps hii nayo imechangiwa na kwamba ana doubts zake ambazo amekuwa nazo kwa miaka mingi sana mpaka kusema atampima DNA ila hakuwahi kupima na miaka imeenda now sidhani kama anaona haja ya kumpima tena after all amekuwa akitoa matunzo na kusomesha.
Perhaps na yeye anatakiwa kujiandaa kisaikolojia sijui maana naonaga tu kama hajamu accept fully ila tu afanyeje maana wakati mwingine anasema hafanani nae hata kitu kimoja. Wenye uzoefu dondosheni mawili matatu kwa ajili ya hili jambo.
Natanguliza shukrani!
Mengi ninayopitwa nayo ni yapi kwa mfano? Mimi nampokea na maandalizi nafanya. Hiyo haina tatizo.