Soon Simba SC wataaminishwa Mo kamkataa Niyonzima

Samahani
Nenda kenye Play Store, download Simba sc.
Habari zote utazikuta hapo.
Pamoja na majukumu ya Musa Hassan Mgosi.
Kila kitu kipo hapo.
Amina
Yaani kwenye simu yangu ya gharama nikadownload makokonfigjo ya sokoni...you must be kidding!

Yule babu Mganda anayeitwa Oki sijui Korie mmemsajili kama kocha au mganga wa timu?
 
Jipe moyo! Ngoma kiwango kimekata pumzi Niyonzima akija atakaa benchi tuu
Kiwango chake kingekata pumzi si ungemuona Msimbazi. Au umesahau Hamisi Kiiza Diego alivyokata pumzi tukabadilishana na Tambwe mabao?
 
Tambwe Babu wa Netball au yupi?


Kuna mambo yanakera, uongo. Najua Hamisi Kiiza naye atakuwa ameenda kurinyuu kama mwenzake Korie...oh, I mean Oki. Akirudi huko yule mahabusu atawatangazia kuwa mmesajili bonge la straika
 
Yaani kwenye simu yangu ya gharama nikadownload makokonfigjo ya sokoni...you must be kidding!

Yule babu Mganda anayeitwa Oki sijui Korie mmemsajili kama kocha au mganga wa timu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pesa iliyokuwa imetengwa kwa ajili ya usajili wa NIYOO itatumika kuwalipa mawakili wa kuwatetea KABURU na AVEVA.
 
Pesa iliyokuwa imetengwa kwa ajili ya usajili wa NIYOO itatumika kuwalipa mawakili wa kuwatetea KABURU na AVEVA.

Litakuwa jambo zuri sana, maana mnatudhihaki sana wakati hata huyo mchezani hayupo kwenye mipango ya kocha Amog.

Kama kweli kuna pesa za kumsajiri huyo NIYOO. basi ni bora zitumike kuwatetea viongozi wetu.

Nasikia mpaka mmechoma jezi zake kwa jazba za kufikirika.

Sisi huku tunazitunza jezi za Ajibu. kuhama timu siyo ugomvi.

Ndo maana Kichuya anawafunga, hamna heshima hata kidogo.

Msiyempenda kaja
Okwi.
 
Hivi Okwi alitemwa ulaya au alimaliza mkataba wake? Bila shaka Okwi anang'aa bongo tu wala siyo Uganda au Kokote duniani.
 
Nimeona kazi kusoma Uzi mrefu sana
 
Mwakani wakikosa ubingwa tayari wana sababu;viongozi wao walitupwa rumande wakati wa usajiri na uchaguzi wa tff!
 
Nyie ni masikini hamna pesa za kununua jezi tunzeni mfanyie mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…