TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

Haujui arguments za watu. Sisi ambao tuko hospitali tunayaona haya. Baadhi ya ndugu wa wagonjwa wanalazimisha oksijeni itolewe kwa wagonjwa wao eti inawaua!!
Nimekupata. Nakubaliana na wewe na hata hapa nimeona. Au niseme baada ya kusoma comments nyingi ndiyo nimegundua hii imani ni janga jingine.
 
Hayo majitu yanaumiza sana mgonjwa ufika mahali na kusema muyatoe kama kufa nife nateseka sana.
Hata ana mgwira alisema hivo hivo oksigen imemchosha. Kwenye maisha haya utajiri mkubwa ni kuwa na afya njema aisee nyingine mbwembwe
 
Haujui arguments za watu. Sisi ambao tuko hospitali tunayaona haya. Baadhi ya ndugu wa wagonjwa wanalazimisha oksijeni itolewe kwa wagonjwa wao eti inawaua!!
Wewe hukuelewa point yangu macho mabadilikko kanielewa vizuri nilichomaanisha vizuri wewe ukaja na imani yako ni nani asiyejua umuhimu wa oksigen au unafikiria hatujasoma chemistry aisee
 
I think you got her wrong! Siyo kwamba oxygen ndiyo inaua bali oxygen inaashiria mgonjwa tayari yuko kwenye critical point hivyo kuna uwezekano asipone.
Wewe umenielewa vizuri nilichomaanisha and he got me wrong oksigen ina support life ila majority mgonjwa akizidiwa hadi kuwekewa hyo majority hufariki maana huwa kwenyw critical condition, so huyo asilaumu raia na sijui imani mgonjwa mwenye critical condition ka cancer last stage hapo kuna uzima?
 
Ninao wazee wangu mwezi huu wa saba wameokolewa na hizo oxygen, mmoja ana 85 mwingine 65 na anaishi na VVU, isingekuwa hivyo tungewazika
Ndio wengi huokolewa hasa ka mtu anakosa hewa, mimi nasemea wale wagonjwa sugu ka cancer na walio kwenye critical condition hapo kujiandaa na lolote tu, mimi mbona ndugu aliondoka na hyo kitu.
 
Back
Top Bottom