TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

Usikilize huo Wimbo wa 'Inde Monie' Mkuu kisha lisikilize hilo Solo Gitaa la Fundi Mwenyewe 'Dally Kimoko' lilivyo tamu ambapo linaweza Kukufanya hata ukiwa na Mwanamke / Mwanaume Kitandani ukasahau Kutumia 'Condom' na ukasababisha Maturubai ya Maombolezo yawekwe katika Familia mbalimbali nchini Tanzania.
Nimekubali nimekubali mkuu... Gitaa analipiga vema kabisa.. mpaka moyo unashangilia
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Gone too soon my friend. Pumzika KWA amani Sophia Nyerere
Screenshot_2021-07-28-15-23-16-07.jpg
 
Uongo wangu nini maana case za wengi ku survive huwa ndogo hata kwa ndugu yangu ilitokea baada ya kuwekwa humo na hakutoka salama hata kwa hawa wa covid asilinia kubwa tu
Ukiwekewa oksijeni tayari hali ni mbaya. KWa hiyo kufa si sababu ya kuwekewa oksijeni bali oksijeni waliyokuwekea imeshindwa kuku rescue.
 
Wengi wanaowekwa kwenye oxygen wanakata moto, tumieni JPM methods kwenye Corona, fukiza, tumia dawa za dukani , na zetu za asili. Oxygen inamaliza watu, hata ukipona mapafu yanabaki na damage kubwa sana, ukipata infections yeyote unaondoka
Waliokupeleka shule waliuza n'gombe kupeleka ng'ombe ingine shule. Anayewekewa oksijeni tayari ana hali mbaya, kwa maana level ya oksijeni ipo chini. Na level ya oksijeni haipimwi kwa macho kenge wewe😂
 
Yaani Huyu ndio angalau alikua anainuka inuka dah...So sad...Nyerere kweli moto hauzai moto.
 
Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere.


RIP

Mzena ?? Hivi kina yakhe wanafika Mzena au Sir Name kwanza?

I bet, angekuwapo babu yake asinge ukubali huu utopolo.
 
Back
Top Bottom