UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Alikuwa mtoto wa nani?
Pole kwa familia ya mwalimu Nyerere.
Pole kwa familia ya mwalimu Nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unamfahamu vyema kuliko huyo unayemuuliza. Utakuwa na sababu nyingine ya kuuliza.Yeriko ni mjukuu au binam wa mwalimu?
R.I.P SOFIA NYERERE MAGORI
Hahahaha inawezekana akawa jirani yake marehemu kawahi. Kuishi mikocheni b .kaishi mbezi beach hivyo inawezrkanautasema jirani yako..
Yeriko ni mjukuu au binam wa mwalimu?
R.I.P SOFIA NYERERE MAGORI
Dk 2 hapana.FAKE. Ubongo ukikosa O2 kwa dakika 2 unakufa. Bora hata hiyo O2 unayoongezewa inakuongezea siku kadhaa kabla ya kuondoka.
Tumezoea kusikia kiongozi x alikuwa muhi2 kwa matibabu, leo ameruhusiwa na amepona! Mifano ipo mingi...Mama Janeth Magufuli, Dr. Kigwangala, Hata Malim Seif, etc! Sikuwahi kusikia hivyo kwa hilo li nzena mfyuuuuuu 😡!Wewe ukienda hospitali na kupona huwa unatangazia wapi?
Tunezoea kusikia kiongozi x alikuwa muhi2 kwa matibabu, leo ameruhusiwa na amepona! Mifano ipo mingi...Mama Janeth Magufuli, Dr. Kigwangala, Hata Malim Seif, etc! Sikuwahi kusikia hivyo kwa hilo li nzena mfyuuuuuu 😡!Wewe ukienda hospitali na kupona huwa unatangazia wapi?
Hata Lugalo, Bugando, KCMC, Aghakan, Regency nk huwa kuna taarifa za watu kutoka na uhai wao... siyo kwa hilo linzena mfyuuuuuu 😡!Wewe ukienda hospitali na kupona huwa unatangazia wapi?

Hapana, nina list ya waliotokelezea kuzimu kupitia hilo linzena😡!Ha ha ha una uhakika? Una list ya wote wanaotibiwa hapo?
Naona sura yake imepoteza nuru.. sijui shida ni nini? Ila GENTAMYCINE ni mtaalamu wa biology labda anaweza kutuambia nini shida.Umeniwahi nilitaka kusema hivyo.
Cpt. John wenyewe tulimwita Gwido.Alikuwa mtoto wa nani?
Pole kwa familia ya mwalimu Nyerere.
Shukuru 'Mungu' sana kuwa umemkosa.Daaaaah, Sophia!! Ulikuwa unanipenda sana enzi zile, daaaah.
Huyo alieanza kuongea akiwa amevaa blouse nyekunduPicha yake...iko wapi?