macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Nimekupata. Nakubaliana na wewe na hata hapa nimeona. Au niseme baada ya kusoma comments nyingi ndiyo nimegundua hii imani ni janga jingine.Haujui arguments za watu. Sisi ambao tuko hospitali tunayaona haya. Baadhi ya ndugu wa wagonjwa wanalazimisha oksijeni itolewe kwa wagonjwa wao eti inawaua!!
Mtoto mzuri ila tarumbeta zimemuharibia sana dah. RIP[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Gone too soon my friend. Pumzika KWA amani Sophia NyerereView attachment 1871648
Raisi wa wanyonge gani yule hata tender za serikali aliziamua yeye mf. Tenda ya kununua haya Mandege aliitangaza wapi?Ilimchukua rais wa wanyonge sasa mjukuu wa baba wa taifa
Tena ukiwa na mtungi wako nyumbani ni nzuri kwa wazee wetuNinao wazee wangu mwezi huu wa saba wameokolewa na hizo oxygen, mmoja ana 85 mwingine 65 na anaishi na VVU, isingekuwa hivyo tungewazika
Sana aisee..huwa wanawaza mno na kuishi kwa masononeko Sana...Apumzike kwa Amani daah inauma Sana Bibi kuzika mjukuu
Kabisa yani inasaidia Sana, nashangaa wanaosema inaua wakati mi Ni shuhuda jinsi ilivyookoa wazee nilioshiriki kuwauguza kwa mikono yanguTena ukiwa na mtungi wako nyumbani ni nzuri kwa wazee wetu
Hayo majitu yanaumiza sana mgonjwa ufika mahali na kusema muyatoe kama kufa nife nateseka sana.Mie mwenyewe sielewewagi kwa kweli ukiskia mgonjwa wenu kawekewa hyo ni kujiandaa na lolote
Hata ana mgwira alisema hivo hivo oksigen imemchosha. Kwenye maisha haya utajiri mkubwa ni kuwa na afya njema aisee nyingine mbwembweHayo majitu yanaumiza sana mgonjwa ufika mahali na kusema muyatoe kama kufa nife nateseka sana.
Wewe hukuelewa point yangu macho mabadilikko kanielewa vizuri nilichomaanisha vizuri wewe ukaja na imani yako ni nani asiyejua umuhimu wa oksigen au unafikiria hatujasoma chemistry aiseeHaujui arguments za watu. Sisi ambao tuko hospitali tunayaona haya. Baadhi ya ndugu wa wagonjwa wanalazimisha oksijeni itolewe kwa wagonjwa wao eti inawaua!!
Wewe umenielewa vizuri nilichomaanisha and he got me wrong oksigen ina support life ila majority mgonjwa akizidiwa hadi kuwekewa hyo majority hufariki maana huwa kwenyw critical condition, so huyo asilaumu raia na sijui imani mgonjwa mwenye critical condition ka cancer last stage hapo kuna uzima?I think you got her wrong! Siyo kwamba oxygen ndiyo inaua bali oxygen inaashiria mgonjwa tayari yuko kwenye critical point hivyo kuna uwezekano asipone.
Ndio wengi huokolewa hasa ka mtu anakosa hewa, mimi nasemea wale wagonjwa sugu ka cancer na walio kwenye critical condition hapo kujiandaa na lolote tu, mimi mbona ndugu aliondoka na hyo kitu.Ninao wazee wangu mwezi huu wa saba wameokolewa na hizo oxygen, mmoja ana 85 mwingine 65 na anaishi na VVU, isingekuwa hivyo tungewazika
Hata ana mgwira alisema hivo hivo oksigen imemchosha. Kwenye maisha haya utajiri mkubwa ni kuwa na afya njema aisee nyingine mbwembwe
In vino veritaspole sana mkuu
NB:
In wine there is wisdom.
Endelea kula vyombo mkuu.
In wine There is Truth MkuuIn vino veritas
Mnh. Yanaumizaje mkuu . Weka sawaHayo majitu yanaumiza sana mgonjwa ufika mahali na kusema muyatoe kama kufa nife nateseka sana.
Jaribu kuuliza kwa aliyechoma kwenye oxygenMnh. Yanaumizaje mkuu . Weka sawa
Labuda vifaa havitoshi...Mzena Hospital Nako!
JJJohnson And Johnson
Mnyonge mwenyeweIlimchukua rais wa wanyonge sasa mjukuu wa baba wa taifa