Nakubaliana naye bwanaWengi wanaowekwa kwenye oxygen wanakata moto, tumieni JPM methods kwenye Corona, fukiza, tumia dawa za dukani , na zetu za asili. Oxygen inamaliza watu, hata ukipona mapafu yanabaki na damage kubwa sana, ukipata infections yeyote unaondoka
John ni mdogo au mkubwa kwa Makongoro na Madaraka?Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere.
Yenyewe nini?Yenyewe?
Ha ha ha mzee usichokoze kichaa wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo.Hii mzena inaua sana, madaktari wa pale inabidi wachunguzwe kama wana kidhi vigezo vya kuhudumu hapo.
Ha ha ha una uhakika? Una list ya wote wanaotibiwa hapo?Ndio, sijawahi sikia mtu kapona kutoka hilo lango la mnzena i see!
Msiba wa kishua, mapambio yote yataimbwa na brass band za police, magereza na jeshiFamilia ya Nyerere inatangaza kifo cha Sophia Nyerere ambacho kimetokea leo.
Naona sasa hivi wanafunga mahema ya matanga,hapa Msasani.
Nimejaribu kuweka picha lakini nashindwa. Nilitaka nitoe picha moja fFace.bookPicha yake...iko wapi?