Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Hivi unamjua madabida na makandokando yake? kuna wanasiasa wengine hawafai kushirikiana nao
 
~~Naona hapa Humphrey anawataja wote waliotumbuliwa.
 



Nimeiona kwny JF twitter:

=========
UPDATES:

Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga



Hawajawatendea haki kwakuwa hapakuwa na mwana ccm ambaye hakuwa na kundi...Mbona Mrisho Gambo alikuwa team Membe na alimuhujumu Mussa Zungu live na tuhuma zake zimefunikwa ...??
 
Wale wote waliomuunga mkono lowassa sasa Magu ndiyo anawafukuza
 
Mi nacheka sana, jeuri yote kwisha...
 
Comrade...madabiba, hususan, ni muhanga wa siasa za "mchezo mchezo, na ujanja ujanja", lkn anajitambua sana nje ya siasa, ni msomi (miongoni mwa wahitimu waliokuwa wakivishwa shahada siku ya mahafali ya UD, miaka hiyo, na nyerere mwenyewe)....sasa hapa, ndio penati yake.....uelekeo!
......"ataenda upande wa pili wa mto, au atasonga mbele akibaki kuwa mpiga kura, mwenye kuyumba na "kweli ya nyakati", kama kina sisi"...
 
Yaliyopita Si Ndwele Tugange Yajayo Haa
Kumbe Mkuu Alikuwa Anazuga Mambo
Bado Yaliyopita Anayo Tu Alikuwa Anangoja Timing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…