Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Kabisa hawata muacha watamtimua tu.Siku zake zinahesabika
~~>>Katibu Muenezi wa CCM, Humphrey Pole pole yupo Mubashara ITV anatoa update ya "MAAMUZI YA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa hawata muacha watamtimua tu.Siku zake zinahesabika
~~>>Katibu Muenezi wa CCM, Humphrey Pole pole yupo Mubashara ITV anatoa update ya "MAAMUZI YA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU"
Hivi unamjua madabida na makandokando yake? kuna wanasiasa wengine hawafai kushirikiana naoKosa la hawa waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba;
2. Ramadhan Madabida;
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa;
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara; na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga.
ni bad timing. Walitumia muda wao vibaya. Wangeachana na CCM na kuhamia upinzani wakati wa kampeni za uchaguzi (2015) wangekuwa heros kwa UKAWA na hivyo wangebaki hai kisiasa. Kwa sasa ni bahati mbaya kuwa they slowing down to the dip. They are gone for ever from active politics.
Unajua kabisa hao waliofukuzwa walikihujumu vipi chama na bado wanaendelea kukihujumuBado Nape , Mwigulu na January .
Maamuzi ya mtu mmoja tu !
Utaanza wewe kabla ya BasheBado Bashe
![]()
Nimeiona kwny JF twitter:
=========
UPDATES:
Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga
Sio CCM tu ni vyama vyote vya siasa Tanzania•JAMBO LA KUACHIA DEMOKRASIA HURU NDANI YA CHAMA ITAWATESA SANA CCM,...
Mi nacheka sana, jeuri yote kwisha...mmmmmhh hali mbaya kwa kila mtu aisee... Hata JK huko aliko atakuwa analalama tu maana deals zake nyingi zimepigwa kapuni.
Mambo mtaani hayaendi tunaambiwa hatufanyi kazi ndio maana ngawira mfukoni hazikai, ila Daaaah after 10 years jamaa atatuacha na miundombinu mizuri kabisa kila wilaya ya nchi hii itakuwa imeunganishwa kwa rami na mambo mengine makubwa yaweza kufanyika ila sasa mpaka tufike huko hakuna rangi tutaacha kuona..
Comrade...madabiba, hususan, ni muhanga wa siasa za "mchezo mchezo, na ujanja ujanja", lkn anajitambua sana nje ya siasa, ni msomi (miongoni mwa wahitimu waliokuwa wakivishwa shahada siku ya mahafali ya UD, miaka hiyo, na nyerere mwenyewe)....sasa hapa, ndio penati yake.....uelekeo!Huyo Madabida anaonekana ni mtu wa hovyo sana. Nitashangaa sana kama atakimbilia Chadema na kama Chadema watamkaribisha. Yes, anaweza kuwa na "knowledge" nzuri kuhusu madudu ya CCM, "knowledge" ambayo inaweza kuwa mtaji kwa Chadema, lakini namdharau sana. Hata Sophia Simba namdharau sana. Ni watu embao fikra zao ziko tumboni, hivyo wanasaliti muda wowote na kutoa siri za ndani kwa audit.