Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Kosa la hawa waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba;
2. Ramadhan Madabida;
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa;
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara; na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga.
ni bad timing. Walitumia muda wao vibaya. Wangeachana na CCM na kuhamia upinzani wakati wa kampeni za uchaguzi (2015) wangekuwa heros kwa UKAWA na hivyo wangebaki hai kisiasa. Kwa sasa ni bahati mbaya kuwa they slowing down to the dip. They are gone for ever from active politics.
Hivi unamjua madabida na makandokando yake? kuna wanasiasa wengine hawafai kushirikiana nao
 
~~Naona hapa Humphrey anawataja wote waliotumbuliwa.
 
1d6bb09df98228f1e8166e9fcc51ab57.jpg




Nimeiona kwny JF twitter:

=========
UPDATES:

Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga




Hawajawatendea haki kwakuwa hapakuwa na mwana ccm ambaye hakuwa na kundi...Mbona Mrisho Gambo alikuwa team Membe na alimuhujumu Mussa Zungu live na tuhuma zake zimefunikwa ...??
 
Wale wote waliomuunga mkono lowassa sasa Magu ndiyo anawafukuza
 
mmmmmhh hali mbaya kwa kila mtu aisee... Hata JK huko aliko atakuwa analalama tu maana deals zake nyingi zimepigwa kapuni.

Mambo mtaani hayaendi tunaambiwa hatufanyi kazi ndio maana ngawira mfukoni hazikai, ila Daaaah after 10 years jamaa atatuacha na miundombinu mizuri kabisa kila wilaya ya nchi hii itakuwa imeunganishwa kwa rami na mambo mengine makubwa yaweza kufanyika ila sasa mpaka tufike huko hakuna rangi tutaacha kuona..
Mi nacheka sana, jeuri yote kwisha...
 
Huyo Madabida anaonekana ni mtu wa hovyo sana. Nitashangaa sana kama atakimbilia Chadema na kama Chadema watamkaribisha. Yes, anaweza kuwa na "knowledge" nzuri kuhusu madudu ya CCM, "knowledge" ambayo inaweza kuwa mtaji kwa Chadema, lakini namdharau sana. Hata Sophia Simba namdharau sana. Ni watu embao fikra zao ziko tumboni, hivyo wanasaliti muda wowote na kutoa siri za ndani kwa audit.
Comrade...madabiba, hususan, ni muhanga wa siasa za "mchezo mchezo, na ujanja ujanja", lkn anajitambua sana nje ya siasa, ni msomi (miongoni mwa wahitimu waliokuwa wakivishwa shahada siku ya mahafali ya UD, miaka hiyo, na nyerere mwenyewe)....sasa hapa, ndio penati yake.....uelekeo!
......"ataenda upande wa pili wa mto, au atasonga mbele akibaki kuwa mpiga kura, mwenye kuyumba na "kweli ya nyakati", kama kina sisi"...
 
Yaliyopita Si Ndwele Tugange Yajayo Haa
Kumbe Mkuu Alikuwa Anazuga Mambo
Bado Yaliyopita Anayo Tu Alikuwa Anangoja Timing
 
Back
Top Bottom