Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Kile kitendo cha wao kutoka kwenye kikao cha Kamati Kuu na kujitenga na maamuzi ya kikao kwakweli walistahili adhabu kali....

Najua wangekuwa chadema wangefukuzwa siku hiyohiyo ila CCM kwakuwa inaamini katika vikao ilisubiri wakati ufipe na umefika hatua zimechukuliwa.
 
Ccm mpya hiyo mjomba. Bebeni tu hayo makapi maana baba la mafisadi mnalo
 
We taahira kweli wewe! Hivi huko kwa machadema unaweza kumchukia Mbowe ukaachwa ndani ya machadema?
unadhihirisha lile nililolisema awali.we Nawe ni mmoja wao kama nimekukwaza limau ipo VP nikuletee?
 
Lizaboni njoo jionee
 
Wameanza ku kwanyuana kumbe vingine wanaweza na wako fastaa mbona vya daudi bashite vinacheleweshwa
 
We taahira kweli wewe! Hivi huko kwa machadema unaweza kumchukia Mbowe ukaachwa ndani ya machadema?
unadhihirisha lile nililolisema awali.we Nawe ni mmoja wao kama nimekukwaza limau ipo VP nikuletee?
 
umetaja jina CHADEMA mara NNE .... hujataja CCM hata mara moja .... kuna kitu kikubwa sana hapa kwenye CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…