DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Kama Zitto na Chacha Wangwe walivyobishana na mwenyekiti?Hiki chama kinakoelekea ukibishana na mwenyekiti unanyongwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Zitto na Chacha Wangwe walivyobishana na mwenyekiti?Hiki chama kinakoelekea ukibishana na mwenyekiti unanyongwa
Hata kama, mtamtoa Bashe..... Bashe ana kichwa kizuri sana bro, ni msomi hawezi kulala njaa....Bado Bashe
Mkuu safi sana tuko pamojaBora CCM wameamua kuvua unafiki ....wapinzani wanaibeza CCM inayojitengeneza ...watatutawala hadi labda wajukuu zetu wajielewe lakini si upinzani huu uliojaa ujanja ujanja ....
Mzimu wa election ya 2015 utamfuata Mtukufu siku zote za maisha yake. Kwa nini mama Sophia Simba hakuvuliwa uanachama toka siku zile?
Alikataa kiongozi wa kutoka mkobani, hivi hilo ni kosa!!!!!Hii safi kabisa
Sasa chadema DAMPO
Uchafu wenu huo
Kosa la kuwa na mawazo tofauti na wengine?
Kwani kundi lilikuwa la Lowassa pekee? Hujiulizi kwanini makundi ya wengine (Muhongo, Mwigulu etc) hawajaguswa? Au mmechoka kufikiri?Hivi kumsapoti lowassa ni dhambi? waje upande wa pili wapambane.
we nawe sofia simba anakashfa gani ambayo imeliumiza taifa. kama ccm wangemtosa mkapa. chenge kikwete ndo ungecomment. unawezaje kumfukuza uanachama mtu ambaye ni innocent ukawaacha wale walioumiza watu mill 40.Bora CCM wameamua kuvua unafiki ....wapinzani wanaibeza CCM inayojitengeneza ...watatutawala hadi labda wajukuu zetu wajielewe lakini si upinzani huu uliojaa ujanja ujanja ....
Kwahiyo NCHIMBI kafukuzwa?Safi sana. Wale waliokuwa wanamtetea Nchimbi waje hapa
Kafanya nn kakaangu jamani? Muacheni apumzike sasa loh!! Leo wanapunguzwa wasaliti tu ila vyeti vyao ni Halali.... Bro sio msaliti ila............ Teh teh teh!! Muacheni kabisa kaka angu plizzz!! Mmempiga pabaya kalia weeeee kaona bado mnaongea kasepa zakeMakonda?
CCM ipi inayojitengeneza? Wewe toka Slaa kaweka mpira kwapani, akili zako zimekuwa clotted...umekuwa lightweight sana chief...Bora CCM wameamua kuvua unafiki ....wapinzani wanaibeza CCM inayojitengeneza ...watatutawala hadi labda wajukuu zetu wajielewe lakini si upinzani huu uliojaa ujanja ujanja ....
Aliimba hadi ule wimbo wa tuna imani na Lowassa , tena Majaliwa alikuwa anaimba sauti ya kwanza , Mgeja alikuwa anaitikia .Kassim Majaliwa pia alimuunga mkono Lowasa hadi ushahidi wa video upo ila wanaonea dagaa
Thubuutuuuu hakuna mtu wa kumgusa Bashe ataendelea kuwakosoa ndani ya lichama lenuBado Bashe