Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sijawahi ona mwenyekiti muoga kama huyu, hata mabadiliko yanayo fanywa si kwa maslahi ya chama bali ni kwa matakwa yake, ila hayo mawazo yake asilete kwenye katiba eti ufutwe ukomo wa kugombea tutamchinjia baharini hadi aone aibu.
 
Hawajawatendea haki kwakuwa hapakuwa na mwana ccm ambaye hakuwa na kundi...Mbona Mrisho Gambo alikuwa team Membe na alimuhujumu Mussa Zungu live na tuhuma zake zimefunikwa ...??
Tatizo waliendeleza makundi hata baada ya mgombea wa mwisho kupatikana, kifupi walikuwa wasaliti.
 
Sio CHADEMA wala Sio CCM, tena afadhali huku CCM kwa sasa wanafagia fagia hakuna anaeona vizuri hasa watu wa chini wapo tu tunakoenda ndio huko huko, utamshangaa mtu wa CHADEMA pove linamtoka utadhani kwake hakuna udikteta, tena huyo Tundu Lizu nani wa kupinga wazo lake, semeni ukweli? Na Mbowe nani wa kumkosoa kwa sasa? Si umeona waliojaribu yaliyowakuta, na najua hamna uchaguzi wa Mwenyekiti tena dah...

Siasa za Tanzania ni bora wale wasio na vyama lakini hawa mashabiki uchwara ambao hata katiba za vyama vyao hawazijui ni shida... wako kusubiri nani wa kumtukana na kuongea USHILAWADU badala ya kujadili hoja za msingi kwa maendeleo ya taifa hili..

CCM acha ifagie, wakimaliza tunasubiri kama CHADEMA na nyinyi mtafagia au hayo makombo waliotupa chini CCM ndio mtaokota kama kawaida yenu?

Maana hamtaki kujibidiisha na nyinyi mkae mezani mle chakula fresh sijaona hata program za kuelemisha vijana wenu kuhusu maono ya CHADEMA kila siku viongozi wenu kwenye makorido kulinda nafasi zao kwa kutafuta kashfa ya mahakamani au ya kuuchafua utawala, huku mkipata washabiki badala ya wanachama watakao kijenga chama.
Comment on what is on the table
 
Yaaani huu mchujo wangeufanya Chadema...lingekuwa gumzo! Lawama zote angebwagiwa Mbowe...mbona sioni Magufuli akimwagiwa lawama!?
 
Wameanza kugawana fito,sasa EL mbona ana watu Wengine humor zaidi ya uyo humor ndani.Mimi namshauri mwenyekiti atumie TISS kubaini wasaliti alafu afukuze wrote aanze upya,maana ilo in kokoro wamebeba samaki was rika zote,akitaka sangara na sato wakubwa sana na was kati basi afuate ushauri wangu.Tuanze upya Hanna namna,wasaliti ikiwezekana wapigwe tu.
Mkuu unamiksi na kilugha, hatukuelewi
 
halmashauri ya ccm imewafukuza kazi wenyeviti wanne wa mikoa ya dar, mara, shinyanga na iringa eti kwa kukiuka maadili.chanzo eatv.
IMG-20170311-WA0028.jpg
 
Wewe ni wa kanda pendwa, ukipata ulaji tufahamishane tunaweza pitia pitia huko kwako angalau tuendelee na ligi za mjini
Usikonde mambo yatakaa shwari tu, naiona Arusha inajengwa, barabara zinasukwa, juzi kati nilienda Dodoma ile barabara ya Kondoa na Wilaya ya Chemba imetulia sana...

Mi ni wa kanda Pendwa ila sioni tofauti yoyote ukiwa kanda pendwa na ukiwa kwenye kanda isiyo pendwa, tena maeneo ya kanda pendwa kama Simiyu sio shega kama kanda isiyo pendwa...
 
Mtukufu mwenyekiti anaweza kukunyonga ukiwa na mawazo m badala,

Ila mbona kina Kassim Majaliwa wameachwa?
 
Sijawahi ona mwenyekiti muoga kama huyu, hata mabadiliko yanayo fanywa si kwa maslahi ya chama bali ni kwa matakwa yake, ila hayo mawazo yake asilete kwenye katiba eti ufutwe ukomo wa kugombea tutamchinjia baharini hadi aone aibu.
Nakuambia ndicho kitakachofanyika, na itapitishwa tu
 
~~>>>Sophia Simba amepoteza Uenyekiti wa UWT na amepoteza nafasi yake ya Ubunge...


~~>>Nchimbi amepewa onyo kali na kupaswa kuomba msamaha akiwa huko huko Brazili.

Kama hataki kuomba msamaha tunalala naye mbele.


~~>>>Adam Kimbisa amechunguzwa na amesamehewa. Anaweza kuendelea na harakati zake


NB:
#1.Adhabu zilizotolewa leo hazina rufaa. Zinaanza kutumika kuanzia muda huu.

#2. Kama kuna wajumbe ambao tayari wameshatumbuliwa, ila wako njiani kuja dodoma.. Hawataruhusiwa kushiriki ktk mkutano.... ila watapatiwa stahk zao.


Poleni sana kwa waliotumbuliwa
 
Back
Top Bottom