Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Wakienda Chadema ni mtaji tosha. Kama walimpoke wema basi hawa ni watakatifu ndani ya chadema
Kama ulishawahi kusikiliza hotuba za J K Nyerere Alishasema "WAPINZANI WA CCM WATATOKA CCM" mwisho wa kunukuu
 
Zzk na kina kitilya na wenzake walivyoanza vuguvugu LA usaliti na hatimae kutumbuliwa na cdm mlinyoosha midomo kuwa cdm hakuna demokrasia,sasa je unasemaje yaliyotokea CCM,demokrasia IPO?

Nimeipenda sana ID yako Mkuu kwani naona umeamua kupiga kona na kuwahi kutaka kufunga mwenyewe. Watoto wa mjini wanasema umejitekenya halafu unacheka tena mwenyewe. Kweli hii ndiyo JF bhana!Naona umeamua kupima upepo baada ya zile ndoto zako kutotimia leo kutokea pande za Idodomya na kwa kiasi fulani ni kama vile umeaibika. Inaonekana siku hizi Informers wako hawako competent Mkuu na kila uchao wanakulisha tu matango pori.
 
Jamani tutashangaa kama waliotimuliwa ccm watakimbilia chadema na kupokelewa. Hapo tutaendlea kutambua kuwa chadema ni Chama cha kupokea mabaki.
 
Kumbe nywele nyeupe alikuwa anampango wa kurudi nambari one na aliacha majeshi yake yamsafishie njia sasa yamegundulika na kuraruliwa.
 
Zito hakuwa msaliti
kilicho mponza ztt ni Kuwa mkweli
ndani ya cdm nimarufuku kuwa mkweli
hupaswi kuhoji wala kuuliza Pesa ya chama inakwenda wapi,
marufuku kuonyesha kugombea Uenyekiti
mwenyekiti wa milele ni Mbowe pekee
 
Bashite hatumuachiiiiiii,hata upite mwaka mzima ila akirudi nchini arudi na vyeti.
Sipati picha akirudi.... hawa kina bashite ndo wamesitisha ajira zetu kumbe wao ndo hewa... sasa hv ngekuwa nmedraw mtonyo mara 14!
 
M
A
Husika na Kichwa cha uzi hapo juu, unafikiri wasaliti hawa waliofungashiwa virago CCM mwisho wao / wataangukia chama gani cha siasa hasa ukizingatia kwasasa tuna vyama vingi vya siasa vyenye ushawishi mkubwa. Karibu utiririke, kejeli hazitakiwi.

Kumbuka siasa haina rafiki wala adui wa kudumu.
Sophia CDM Madabida hatakiwi kwa sababu ya kashifa ya ARV fake ambazo ziliua ndugu zetu.Akaanzishe cha kwake tu. Ila ninawahurumia sana waliobaki ccm watakomaje? Siasa hahitaji hasira wala visasi
.kila hot
Wataanzisha CCM-Asili
 
Nawashauri kwa dhati kabisa waanzishe ccm B.upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm,by J K Nyerere
 
Ningeelewa kama wangedil na wale wanaofuja mali za umma ambao ndo wamejazana CCM.. Hii ya kuwavua uanachama wenye mawazo tofauti ni udicteta na chuki. Huku sio kujenga chama ni KUTISHIA WANACHAMA WASITHUBUTU KUMPINGA MGOMBEA
 
Uungwana ni vitendo....nimerudisha makombora yangu kapuni.
Pia hiyo imekufunza kuwa siyo kila unachokiona mtandaoni ni sahihi, fanyia tafiti kwanza. Pamoja tuendelee kutirirsha utirio wa GT hapa jukwaani.

Dah! mkuu ulikuwa umetoa makombora kabisa?

Mbona tayari nina "anti missile" ya uwezo wa kati?

Kama ungesogea kungefanyika "counter attack".

😀😀😀
 
Nimeipenda sana ID yako Mkuu kwani naona umeamua kupiga kona na kuwahi kutaka kufunga mwenyewe. Watoto wa mjini wanasema umejitekenya halafu unacheka tena mwenyewe. Kweli hii ndiyo JF bhana!Naona umeamua kupima upepo baada ya zile ndoto zako kutotimia leo kutokea pande za Idodomya na kwa kiasi fulani ni kama vile umeaibika. Inaonekana siku hizi Informers wako hawako competent Mkuu na kila uchao wanakulisha tu matango pori.

Hata wewe unaweza kusaidia lizaboni kutoa jibu,wewe binafsi unaonaje usaliti uliofanywa na kina zzk na kutumbuliwa vs wasaliti wa CCM walofikuzwa Leo?mambo ya like humu hayatufai
 
Back
Top Bottom