Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,122
Kama ulishawahi kusikiliza hotuba za J K Nyerere Alishasema "WAPINZANI WA CCM WATATOKA CCM" mwisho wa kunukuuWakienda Chadema ni mtaji tosha. Kama walimpoke wema basi hawa ni watakatifu ndani ya chadema