Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko najiuliza, ile tuhuma ya Madabida kusambaza anti retro virus drugs fake kupitia kiwanda chake ilifutwa au bado ipo???Madabida hivi si alikuwa na Bashite kila mahali
Wakati huu gia ndo inahama ila maajabu yanayo kuja ni chadema kukosoa ya ccm
Ahamie CHADEMA, shimo la uchafu na vitu vibovu
Haaaa mm sikujua mkuu,Sio CHADEMA wala Sio CCM, tena afadhali huku CCM kwa sasa wanafagia fagia hakuna anaeona vizuri hasa watu wa chini wapo tu tunakoenda ndio huko huko, utamshangaa mtu wa CHADEMA pove linamtoka utadhani kwake hakuna udikteta, tena huyo Tundu Lizu nani wa kupinga wazo lake, semeni ukweli? Na Mbowe nani wa kumkosoa kwa sasa? Si umeona waliojaribu yaliyowakuta, na najua hamna uchaguzi wa Mwenyekiti tena dah...
Siasa za Tanzania ni bora wale wasio na vyama lakini hawa mashabiki uchwara ambao hata katiba za vyama vyao hawazijui ni shida... wako kusubiri nani wa kumtukana na kuongea USHILAWADU badala ya kujadili hoja za msingi kwa maendeleo ya taifa hili..
CCM acha ifagie, wakimaliza tunasubiri kama CHADEMA na nyinyi mtafagia au hayo makombo waliotupa chini CCM ndio mtaokota kama kawaida yenu?
Maana hamtaki kujibidiisha na nyinyi mkae mezani mle chakula fresh sijaona hata program za kuelemisha vijana wenu kuhusu maono ya CHADEMA kila siku viongozi wenu kwenye makorido kulinda nafasi zao kwa kutafuta kashfa ya mahakamani au ya kuuchafua utawala, huku mkipata washabiki badala ya wanachama watakao kijenga chama.
Jibu swala acha kujinyeaKumbe ujumbe wangu nilioutuma Kwako wa Kifalsafa umekuingia kisawasawa Mkuu? Safi sana.
Mimi sio mshabiki wa vyama lakini kwa hili naomba niseme CCM inapoelekea nitaenda kujiunga mwenyewe bila kulazimishwa!!...kama hawa watu walionekana 'taxi bubu' acha wapate walichokitafuta..
CCM keep it up n' CDM iwapo itawachukua hata mmoja kati yao ntaichukia rasmi!..Mtu mchafu hafai kama aliweza saliti alipolelewa then atashindwa nini kusaliti akija kwako!?..
Dah! mkuu ulikuwa umetoa makombora kabisa?
Mbona tayari nina "anti missile" ya uwezo wa kati?
Kama ungesogea kungefanyika "counter attack".
😀😀😀
Wewe ni hatari umemchongea mtavatavangu mwenykiti wa iringa kibarua kimeota nyasiSafi sana. Wale waliokuwa wanamtetea Nchimbi waje hapa
Wakienda Chadema ni mtaji tosha. Kama walimpoke wema basi hawa ni watakatifu ndani ya chadema
DJ wa ufipa kuna wakumpinga mawazo yake au huo udikteta ni sehemu moja tu unaonekana?...Ningeelewa kama wangedil na wale wanaofuja mali za umma ambao ndo wamejazana CCM.. Hii ya kuwavua uanachama wenye mawazo tofauti ni udicteta na chuki. Huku sio kujenga chama ni KUTISHIA WANACHAMA WASITHUBUTU KUMPINGA MGOMBEA
Zito hakuwa msaliti
kilicho mponza ztt ni Kuwa mkweli
ndani ya cdm nimarufuku kuwa mkweli
hupaswi kuhoji wala kuuliza Pesa ya chama inakwenda wapi,
marufuku kuonyesha kugombea Uenyekiti
mwenyekiti wa milele ni Mbowe pekee
Leo wamekua matapishi sio walivokua ccm kwenye utawala uliopita sio matapishiKuna chama kimoja cha huwa mara nyingi kinapokea matapishi ya CCM, mnakijua huko watapokelewa kwa mbwembwe
Jamani tutashangaa kama waliotimuliwa ccm watakimbilia chadema na kupokelewa. Hapo tutaendlea kutambua kuwa chadema ni Chama cha kupokea mabaki.