Mimi nauliza ya ccm wewe unaniletea habari za chadema, kwahiyo na nyie mnawaiga chadema.Hili swali anaweza kutusaidia mh. Mbowe au waulizwe akina prof. Mkumbo na Mwigamba walipoamua kumuunga mkono Zitto ili awe top wa CDM kama ili kuwa kosa ama la.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nauliza ya ccm wewe unaniletea habari za chadema, kwahiyo na nyie mnawaiga chadema.Hili swali anaweza kutusaidia mh. Mbowe au waulizwe akina prof. Mkumbo na Mwigamba walipoamua kumuunga mkono Zitto ili awe top wa CDM kama ili kuwa kosa ama la.
Well said kakaSio CHADEMA wala Sio CCM, tena afadhali huku CCM kwa sasa wanafagia fagia hakuna anaeona vizuri hasa watu wa chini wapo tu tunakoenda ndio huko huko, utamshangaa mtu wa CHADEMA pove linamtoka utadhani kwake hakuna udikteta, tena huyo Tundu Lizu nani wa kupinga wazo lake, semeni ukweli? Na Mbowe nani wa kumkosoa kwa sasa? Si umeona waliojaribu yaliyowakuta, na najua hamna uchaguzi wa Mwenyekiti tena dah...
Siasa za Tanzania ni bora wale wasio na vyama lakini hawa mashabiki uchwara ambao hata katiba za vyama vyao hawazijui ni shida... wako kusubiri nani wa kumtukana na kuongea USHILAWADU badala ya kujadili hoja za msingi kwa maendeleo ya taifa hili..
CCM acha ifagie, wakimaliza tunasubiri kama CHADEMA na nyinyi mtafagia au hayo makombo waliotupa chini CCM ndio mtaokota kama kawaida yenu?
Maana hamtaki kujibidiisha na nyinyi mkae mezani mle chakula fresh sijaona hata program za kuelemisha vijana wenu kuhusu maono ya CHADEMA kila siku viongozi wenu kwenye makorido kulinda nafasi zao kwa kutafuta kashfa ya mahakamani au ya kuuchafua utawala, huku mkipata washabiki badala ya wanachama watakao kijenga chama.
Mie nilikuwa njia panda ngoja tuone hali ikikaa sawa nijiungeTunakarabati nyumba
chadema ni upinzani, na viongozi wake ni wanadamu, haiwezekani akosekane mtu wa kuwabeza ikiwa hata wa ccm wanabezwa, ikiwa hata rais anabezwa.Sio CHADEMA wala Sio CCM, tena afadhali huku CCM kwa sasa wanafagia fagia hakuna anaeona vizuri hasa watu wa chini wapo tu tunakoenda ndio huko huko, utamshangaa mtu wa CHADEMA pove linamtoka utadhani kwake hakuna udikteta, tena huyo Tundu Lizu nani wa kupinga wazo lake, semeni ukweli? Na Mbowe nani wa kumkosoa kwa sasa? Si umeona waliojaribu yaliyowakuta, na najua hamna uchaguzi wa Mwenyekiti tena dah...
Siasa za Tanzania ni bora wale wasio na vyama lakini hawa mashabiki uchwara ambao hata katiba za vyama vyao hawazijui ni shida... wako kusubiri nani wa kumtukana na kuongea USHILAWADU badala ya kujadili hoja za msingi kwa maendeleo ya taifa hili..
CCM acha ifagie, wakimaliza tunasubiri kama CHADEMA na nyinyi mtafagia au hayo makombo waliotupa chini CCM ndio mtaokota kama kawaida yenu?
Maana hamtaki kujibidiisha na nyinyi mkae mezani mle chakula fresh sijaona hata program za kuelemisha vijana wenu kuhusu maono ya CHADEMA kila siku viongozi wenu kwenye makorido kulinda nafasi zao kwa kutafuta kashfa ya mahakamani au ya kuuchafua utawala, huku mkipata washabiki badala ya wanachama watakao kijenga chama.
Tunawatafuta walioutunga na kuuimbisha, waliotikia waliongozwa kuimbaWasaliti wa chama walikuwa wengi sana. Sauti zilizosikika ukumbini zikiimba wimbo wa kuwa na imani ya Lowassa ni nyingi kuliko waliofukuzwa. Hii ina maana kuwa tatizo bado limejichimbia humohumo ndani ya CCM
Ulivyojibu tu unaonyesha uwezo wa kichwa kuwa ni kitupu. Na wale walimu na wauguzi walioitwa hewa huku wamekaribia kustaafu kisa vyeti ilikuwaje ?!Huyu tunataka apande cheo hatoki kwenye system, hatutaki siasa tunaangalia kazi ya mtu
vip kuhusu bashite mkuu mbna mnasahaulishaCCM imefanya kitu sahihi wakati sahihi
hivi huyu polepole ni mzee au kijana