Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

Propaganda zimewa-brainwash kama ilivyokua hapa, hata leo ukisema ya hovyo ya nyerere utatukanwa pengine kutamaniwa kutolewa roho yako,yaani mtu anaabudiwa
 
Huyu mwamba ana wanyoosha wananchi wake kama Mwalimu Nyerere, TV zilipigwa marufuku na mambo mengine ya kipuuzi ya kijamaa.

Sometimes naonaga wajamaa kama vile ni watesi wa wananchi
Ujamaa au Ukomunisti ni USHETANI
 
Afadhali hivyo kuliko kununua ambazo hujui nani katengeneza na ametumia nini
Unaponunua nyama safarini huwa unajuaje ni ya mbuzi kweli na sio mbwa, ni ng'ombe sio panda au ni kuku sio kunguru??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…