Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karati ndio kitu gani?Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani.
View attachment 2433239
kipimo cha kupimia vito,1 carat =0.2gramKarati ndio kitu gani?
Karati ndio kitu gani?
Kwamba hizo carat 300 ni sawa na 60g ?kipimo cha kupimia vito,1 carat =0.2gram
ndio boss.uzito wa noti 60 za elfu kumi za ktz zile mpya.Kwamba hizo carat 300 ni sawa na 60g ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo upate almasi ina kilo mojaa itakua bei ganindio boss.uzito wa noti 60 za elfu kumi za ktz zile mpya.