Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Canada hawana mpira wa maana wamatumbi wakikaza na kuacha papara! Mechi saa nne usiku.
mwendo wakuwaombea waafrica wenzetu mema wakuuuCanada hawana mpira wa maana wamatumbi wakikaza na kuacha papara! Mechi saa nne usiku.
Kabisamwendo wakuwaombea waafrica wenzetu mema wakuuu
Game inaisha hii dk 90. Nishatupia mkeka single wa buku teni upande wa SA
Ngoja tuone!Wasauth siyo wa kuwaamini sana mkuu....shida yao kubwa dakika zote wanazichakaza kwenye mipasi kibao,mipasi milioni wakati kuna wajomba wanakupgia pasi 3 tu watu wanahemea kwenye box lako wakufunge.
Wasitoe boko pale nyuma Canada huwa wanapita na mwendo mkali.Game inaisha hii dk 90. Nishatupia mkeka single wa buku teni upande wa SA
Hawa siyo watu wa kuwaombea mema mzee.mwendo wakuwaombea waafrica wenzetu mema wakuuu
Mie nipo nao bwana jamaa msauz alitua hia mbegu kwa dada yangu...Hawa siyo watu wa kuwaombea mema mzee.
Wameua na kujeruhi ndugu zetu kwa kile wanachosema kulinda ajira zao.
Hivyo wajionbee wenyewe tu
Basi sawa, lakini hawa jamaa ni mbwa koko wasiostaili kushangiliwa.Mie nipo nao bwana jamaa msauz alitua hia mbegu kwa dada yangu...
Lakini Kanada akifika matuta amekwishaDalili zote hazioneshi kama itafuzu
Ndjo huko huko mazimbu walimgegeda dada yangu na kumjaza mimba....mie wala sina baya nao maana sauz natinga kwa mualiko wa dogo full raha....ebwana umeona ile misambwanda ya kizulu na kixhosa ni balaaaBasi sawa, lakini hawa jamaa ni mbwa koko wasiostaili kushangiliwa.
Wamejeruhi jamaa zangu na kuwafukuza.
Kumbuka tuliwasaidia sana hawa kenge.
Pale Mazimbu Morogoro waliishi kama wako kwao na walihusika na kifo cha Waziri Mkuu wetu, lakini wanacho kufanyia ni unyama tu.
Kipa?Lakini Kanada akifika matuta amekwisha
Mpaka sasa limeokoa michomo kibao. Linatumia mwili mzima kudakaKipa?
Asilimia kubwa ya timu ya wa Canada ni wamatumbi.Canada hawana mpira wa maana wamatumbi wakikaza na kuacha papara! Mechi saa nne usiku.
Hiyo ni angle Moja, ya pili ni wapigaji. Kipa anaweza chomoa mikwaju labda miwili halafu wapigaji upande wake wakamlet downMpaka sasa limeokoa michomo kibao. Linatumia mwili mzima kudaka