South Africa anaenda kufuzu hatia ya 16 Leo usiku

Afrika Kusini haina washambuliaji ndio maana wametolewa kwenye mashindano na pia yule kipa wao Williams ni bure kabisa anapoteza muda muda wote wakati hawana goli.
 
Sijui yupoje yule kipa anakaa na mpira muda mrefu utadhani S.A inaongoza mbili hovyo kabisa boya lile
 
Hivi Mkuu lile kosa la kukaa na mpira muda mrefu huwa linamkosaje kosaje huyu kipa au wanamaanisha nini wakisema Kipa kukaa na mpira muda mrefu ni kosa.
 
Mkuu kwenye buld up kipa anatakiwa kuanzishisha shambulizi la haraka anavyochelewa kuanzisha mpira anatoa nafasi kwa wapinzani kujipanga na kuziba mianya ya kupeleka shambulizi hata la kushtukiza.

Haya ndio makosa yenyewe, lakini hata refa wa jana hakuwa na msisitizo sana kuangalia ucheleweshaji wa mpira.
 
Afrika Kusini hoi hawana mpira wa kuwawezesha kucheza 16 bora ktk kombe la dunia.
 
Back
Top Bottom