South Africa anaenda kufuzu hatia ya 16 Leo usiku

Wasauth siyo wa kuwaamini sana mkuu....shida yao kubwa dakika zote wanazichakaza kwenye mipasi kibao,mipasi milioni wakati kuna wajomba wanakupgia pasi 3 tu watu wanahemea kwenye box lako wakufunge.
Ngoja tuone!
 
Mie nipo nao bwana jamaa msauz alitua hia mbegu kwa dada yangu...
Basi sawa, lakini hawa jamaa ni mbwa koko wasiostaili kushangiliwa.
Wamejeruhi jamaa zangu na kuwafukuza.
Kumbuka tuliwasaidia sana hawa kenge.
Pale Mazimbu Morogoro waliishi kama wako kwao na walihusika na kifo cha Waziri Mkuu wetu, lakini walicho tufanyia ni unyama tu.
 
Ndjo huko huko mazimbu walimgegeda dada yangu na kumjaza mimba....mie wala sina baya nao maana sauz natinga kwa mualiko wa dogo full raha....ebwana umeona ile misambwanda ya kizulu na kixhosa ni balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…