Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Huoni ukweli bila hate hata kidogo.1. Aina za kina MK254 na wenzao ni disgrace kwa Afrika.
2. To be honest, haisaidii kutowataja kwa majina yao.
3. Viva TAL kwa hakika aina za kina Allen Kilewella (pamoja na honorable wao) wanayo mengi ya kujifunza kutoka kwake.
4. Kama ilivyo nyuzi mbili hizi zilimaanisha:
a) Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama
b) Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama
5. Hapo #4 wanasema no hate no fear.
Proved, Retired, JokaKuu, imhotep yale mambo yetu.
Huwezi kuua kila mtu wa familia moja eti kwa sababu mwanafamilia mmoja amekuchokoza.
Akili za wenye akili zilipaswa kukemea. Kwa mujibu wa Biblia kuna Taifa teule ambalo uteule ule ulikoma baada ya ujio na kupaa kwa Masihi.
Pazia la Hekalu kupasuka katikati ilimaanisha kuwa yaliyo sirini na wakfu sasa yapo bayana kwa kila mtu kuona na kushuhudia.
Huu unyama dhidi ya utu unasababisha hata vilivyo vitakatifu kutukanwa. Mungu alibadili mwelekeo ambapo aliwaambia endapo watamkaidi atawafukuza kutoka nchi yao aliyowapa kwa mahaba makubwa. Sasa mpaka leo wanaendelea kumuudhi aliyewaumba.
Kuzaliwa Mpalestina siyo laana. Kuzaliwa Muisraeli siyo utukufu,