South Africa: Unyama wa Israel haukuanza Oct 7

Huoni ukweli bila hate hata kidogo.

Huwezi kuua kila mtu wa familia moja eti kwa sababu mwanafamilia mmoja amekuchokoza.

Akili za wenye akili zilipaswa kukemea. Kwa mujibu wa Biblia kuna Taifa teule ambalo uteule ule ulikoma baada ya ujio na kupaa kwa Masihi.

Pazia la Hekalu kupasuka katikati ilimaanisha kuwa yaliyo sirini na wakfu sasa yapo bayana kwa kila mtu kuona na kushuhudia.

Huu unyama dhidi ya utu unasababisha hata vilivyo vitakatifu kutukanwa. Mungu alibadili mwelekeo ambapo aliwaambia endapo watamkaidi atawafukuza kutoka nchi yao aliyowapa kwa mahaba makubwa. Sasa mpaka leo wanaendelea kumuudhi aliyewaumba.

Kuzaliwa Mpalestina siyo laana. Kuzaliwa Muisraeli siyo utukufu,
 
Mungu ili kiwakomboa wanadamu kikristo alimtoa mwanae wa pekee.hakutoa mbuzi
 
"Rais Cyril Ramaphosa kama ilivyo Lissu na sisi wanaume wengine wengi wa shoka siyo timu kobazi labda wewe"
Sawa - na mamilioni ya wakristo na wayahudi wanaounga mkono Wapalestina kwa kuandamana duniani kote nao ni kobaz? Tumieni akili
Mataifa 150 duniani yanaunga mkono Palestina - nao ni kobaz?
 
Sawa - na mamilioni ya wakristo na wayahudi wanaounga mkono Wapalestina kwa kuandamana duniani kote nao ni kobaz? Tumieni akili
Mataifa 150 duniani yanaunga mkono Palestina - nao ni kobaz?

Kuna mambuzi meme kichwani Kuna maembe.

MK254 vichwani hukaa akili SI maembe.
 
Aina yako ni useless kwa Waafrika, juzi mumechinja Wakristo pale Nigeria kisa ujinga wa dini yenu...
 
1. Inasikitisha ndugu zetu was damu akina denoo JG hawaoni hayo eti kuwa tunapigania katiba mpya.

2. Katiba mpya ipi tusipokuwa waumini kindaki ndaki wa haki?

3. TAL ni mfano bora kabisa Kwa kuuweka msimamo wake wazi kwenye yote; dhidi ya ma time saver wanasiasa uchwara walioko katika siasa kinfursa fursa Vila kujali kambi.

Viva TAL.
 
Aina yako ni useless kwa Waafrika, juzi mumechinja Wakristo pale Nigeria kisa ujinga wa dini yenu...

1. Ulikutana nasi wapi tukichinja watu achilia mbali wakristo?

2 Dini mahekaluni, jamatini masinagogini, misikitini, makanisani Nk.

3. Huku ni haki dhidi ya madhwalimu, finito!
 
Mkuu; HAMAS hawateseki. Mbona ndo jadi yao kila siku wanapenda milio ya bunduki na kuuawa?.yan ni kama Mhindi na chakula chenye pilipili kali.Usidhani anapata shida. Bila hivo hajisikii vizuri kula. 😠 .
 
Huyo ndugu usishangae ni CDM na alipo anasubiri CCM wamletee katiba mpya akiwa anapunga upepo Coco beach.
 
Former head of Mossad, Ephraim Halevy: The Hamas movement is well organized and has capabilities that I did not believe it possessed, and assassinating its leaders is like mowing grass, it grows again and again.
Wazayuni wa jf watakushambulia
 
1. Ulikutana nasi wapi tukichinja watu achilia mbali wakristo?

2 Dini mahekaluni, jamatini masinagogini, misikitini, makanisani Nk.

3. Huku ni haki dhidi ya madhwalimu, finito!

Unakumbuka hili tukio mlilochinja wasioamini kwenye uzombi wa dini enu Bus passengers massacred
 
at least kuna wenye akili wanaoanza kuchukua hatua.
Nadhani sasa njia nyeupe kwa Africa kuishtaki NATO kwa mauaji ya akina Gaddafi na viongozi wengine wa Afrika waliouawa kupitia nyenzo na mbinu za hao magharibi
Labda sio Afrika, ni south afrika tu ndio imeonyesha kusimama na Palestina, labda na Algeria kidogo.

Viongozi wanasherehekea mapinduzi Zanzibar kwa maana wanahalalisha yale mauwaji ya that day kwa waislamu, watakua na uchungu kwa wapalestina na kuishtaki NATO!!! Muislamu anaejitambua hawezi kusherehekea huu upuuzi
 
Mkuu weka udini pembeni.
Wanaouawa kule ni binadamu na wanahitaji hifadhi na hakikisho la usalama wao.

Mimi sitetei waislam wala wakristo bali natetea utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…