South Africa: Unyama wa Israel haukuanza Oct 7

South Africa: Unyama wa Israel haukuanza Oct 7

Mkuu weka udini pembeni.
Wanaouawa kule ni binadamu na wanahitaji hifadhi na hakikisho la usalama wao.

Mimi sitetei waislam wala wakristo bali natetea utu

Sijakataa, ila nimesema Afrika kuishtaki NATO hilo sahau, huko Zanzibar tu viongozi wanasherehekea revolution kwa maana kilichotokea kwa kuuawa kwa waislamu nchini Zanzibar ni halali kwao wao kama waislamu, ndio maana yake mkuu. Mpaka inafikia mtu anatamka na kuyaita "MAPINDUZI MATUKUFU" kumeuwa ndugu zako waislamu halafu unasema MATUKUFU!!

Kwa maoni yangu, ni heri hii siku wakaifuta. Ni hayo tu
 
Attachments

  • F8ED6BB3-B129-4171-8B34-B65869FEA894.jpeg
    F8ED6BB3-B129-4171-8B34-B65869FEA894.jpeg
    46.8 KB · Views: 1
1. Kimeumana mahakamani "koleo" laitwa kwa jina lake:

View attachment 2868283

View attachment 2868298

2. Kuna wale wenye mahaba uchwara ya dini.

3. Kwamba hawawezi kujiuliza katika nchi zote, kwanini HAMAS wana taabu na Israel si Kenya wala Tanzania?
S.Africa wameionesha dunia kuwa wana Ujasusi uliotukuka unaoweza kukusanya Evidence kwenye Battle field za kutumika kwnye Mahakama ya Dunia.

Hili si jambo dogo.
 
S.Africa wameionesha dunia kuwa wana Ujasusi uliotukuka unaoweza kukusanya Evidence kwenye Battle field za kutumika kwnye Mahakama ya Dunia.

Hili si jambo dogo.

1. Majasusi wa wale wengine ndiyo wanawalisha nyumbu watu hawa ugoro kinyume cha maumbile:

Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

2. Kama vile haitoshi babu yao yanamsibu makubwa huko kwake day 100:

Kuelekea day 100 Gaza, Marekani kukabiliwa na Migomo serikalini

3. Si Natenyahu, si babu yao top job kwao, soon watazisizikia kwenye radio.
 
kuna tofaut gan kati ya Hamas na Boko Haram au ISIS ? ebu jitambue bas usihis una debate na mjinga mwenzio , wote hao wanalenga Islamic state na sio freedom of Palestina , Palestina was freed since 1948 na bado wakapewa freedom 2000 ila wakagoma
HAMAS ni chama cha siasa na kilishinda uchaguzi mkuu wa mwisho dhidi ya Fatah!! So sio kama ISIS wala Boko haram ambazo sio political parties. Hamas kina wabunge na mawaziri kabisa so havifanani.

Na pia hawakugoma uhuru ila hakuna mtu atakukubalia aporwe nusu ya ardhi eti kisa uhuru!! Hata Afrika kusini ilipata uhuru 1905 ila kina Mandela waliupinga hadi walipopata uhuru kamili wa 1990s. Same to Zambia na DRC!
 
FpKL8ABWcAANyqU.jpeg

Akikuelewa mrejesho wako tafadhali, tuko pale ... e! 👉

Mdusi94, MK254
 
View attachment 2870900

Akikuelewa mrejesho wako tafadhali, tuko pale ... e! 👉

Mdusi94, MK254

Zombi la dini hebu tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wako ambaye husababisha mchinje watu...

Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
fukia-jpg.2865966
 
1. Kimeumana mahakamani "koleo" laitwa kwa jina lake:

View attachment 2868283

View attachment 2868298

2. Kuna wale wenye mahaba uchwara ya dini.

3. Kwamba hawawezi kujiuliza katika nchi zote, kwanini HAMAS wana taabu na Israel si Kenya wala Tanzania?
Hata Sudan, kuna genocide inaendelea, tena ya watu weusi,sioni hawa kenge wa SA wakiiongelea,
Ishu ya Palestine inatumika kisiasa tu na ANC, kujikuza kisiasa, na kama distraction ya madudu, ya, uchumi yanayoendelea, ndani ya, SA, mfsno swala LA mgao wa umeme, na ubovu wa shirika Lao LA umeme Escom.
 
1. Hilo la Sudan si hata wewe unaweza kuanza nalo?

2. Wao wameanza na la Gaza wakati wewe labda uko busy na matunda kimasikhara.

3. Kati yao walioanza na zezeta wewe, nani kenge?!

4. Dunia nzima inawapongeza ANC isipokuwa mburula wewe?

IMG_20240114_062137.jpg

5. Kwa hakika:

FpKL8ABWcAANyqU.jpeg

Bure kabisa!
 
Back
Top Bottom