Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ungewajibu hiyo pesa aliyopewa kwa Tanzania inanunua shamba au KiwanjaNilikuwa napita Twitter nilichokutana nacho mpaka ninechoka kabisa. Zawadi ya shilingi milioni moja inachukuliwa kuwa ni mzaha wa karne hii. Soma mwenyewe:
View attachment 2410386View attachment 2410387View attachment 2410389View attachment 2410390View attachment 2410391View attachment 2410392
Source:
Kwani roho moja inathamani ya bei gani?Hata Mimi huu ujinga wa M1 nikiushangaa Sana,dogo ameokoa roho 23 anapewa hela ndogo kiasi hicho?
Hivi kwa akili zako kuna pesa za kulipia uhai?Uhai ni gharama kuliko gharama unazozijua wewe,kitendo cha kumpa Milioni moja hakiendani na Ushujaa aliofanyaKwani roho moja inathamani ya bei gani?
Si ndio maana nimeuliza thamani yake ni ipi? We sema tu kiasi fulani.Hivi kwa akili zako kuna pesa za kulipia uhai?Uhai ni gharama kuliko gharama unazozijua wewe,kitendo cha kumpa Milioni moja hakiendani na Ushujaa aliofanya
Nilikuwa napita Twitter nilichokutana nacho mpaka ninechoka kabisa. Zawadi ya shilingi milioni moja inachukuliwa kuwa ni mzaha wa karne hii. Soma mwenyewe:
View attachment 2410386View attachment 2410387View attachment 2410389View attachment 2410390View attachment 2410391View attachment 2410392
Source:
Nilikuwa napita Twitter nilichokutana nacho mpaka ninechoka kabisa. Zawadi ya shilingi milioni moja inachukuliwa kuwa ni mzaha wa karne hii. Soma mwenyewe:
View attachment 2410386View attachment 2410387View attachment 2410389View attachment 2410390View attachment 2410391View attachment 2410392
Source:
Ww uangaike kumchangia 😀😀si serikali inapesa za kutosha hadi za kuzindua matokeo ya sensa kwa nini wasimpe kiwanja, au wamjengee nyumba kabisa na capital ya business, au mpaka mtu amtukane Mbowe ndo afanyiwe ivyo, viongozi wetu ni wabinafsi sana, majaliwa miyeyusho sanaNamba zake ziwekwe wazi sisi raia tumchangie kadri tunavyotaka