lyenyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 2,651
- 7,299
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini ulichagua kueleza tone moja tu na kuacha mengine waliyoongea wengine?Nia ni nini?Wamesema yote hayo kasome link ipo.
Mbona wasiojulikana wasiojulikana wanatoa uhai wa vijana kimasihara ...Hivi kwa akili zako kuna pesa za kulipia uhai?Uhai ni gharama kuliko gharama unazozijua wewe,kitendo cha kumpa Milioni moja hakiendani na Ushujaa aliofanya
Uishi Maisha marefu mkuuAlitakiwa angalau kusainiwa cheque ya million 100 na serikali. He is a hero indeed!
kama kiasi gani hivi angestahiliHata Mimi huu ujinga wa M1 nikiushangaa Sana,dogo ameokoa roho 23 anapewa hela ndogo kiasi hicho?
Wazo zuri sana, litekelezweNamba zake ziwekwe wazi sisi raia tumchangie kadri tunavyotaka
Mawaziri wote waliofika pale watakuwa wamelipwa per diem kwa nights walizokaa pale. Per Diem ya siku 1 tu ishazidi hiyo milioni 1Na pesa za maandalizi ya kuaga meili ni kubwa sana.
Tshs. Milioni 150kama kiasi gani hivi angestahili
Una akili mkuu . Karibu watu wote wanaopanda ndege wanauwezo wajichange wote wamnunulie fishing fishing boat .Au hata wamjengee nyumba .Waliokolewa na huyo kijana, sijui watampa zawadi gani inayolingana na maisha yao.
Mkuu uzi ni mrefu, nimeweka link nami sikuchagua cha kuleta. Nimepiga screenshots kwa mtiririko mpaka nilipoona yatosha. Hoja yako nini hasa? Acha tabia ya kutuhumu kila kitu, Acha kujishuku mkuuSasa kwa nini ulichagua kueleza tone moja tu na kuacha mengine waliyoongea wengine?Nia ni nini?
kama kiasi gani hivi angestahili
Siku meli au ndege ya viongozi wa nchi ikizama au kudondoka akajitokeza kiherehere kwenda kuokoa nahisi watz watamzingua kinomaMtoa post nisalimie mwamba mmoja toka Twitter alisema jinsi alivyochukia angekuwa yeye angewapakiza hao viongozi kwenye ndege na kuwazamisha
Mwambie bey anakupa hi!
Kwanza advertise kabla hujawaokoa mnawauliza watawapa shilingi ngapi?Siku meli au ndege ya viongozi wa nchi ikizama au kudondoka akajitokeza kiherehere kwenda kuokoa nahisi watz watamzingua kinoma
Poapoa niwie radhi ndgu yangu.Mkuu mimi nilileta taarifa tu, nothing more
Nilikuwa napita Twitter nilichokutana nacho mpaka ninechoka kabisa. Zawadi ya shilingi milioni moja inachukuliwa kuwa ni mzaha wa karne hii. Soma mwenyewe:
View attachment 2410386View attachment 2410387View attachment 2410389View attachment 2410390View attachment 2410391View attachment 2410392
Source: