South Africa wanavyotunanga kwa zawadi ya shujaa Majaliwa

Si wote wamenanga.Kuna walioeleza thamani ya fedha hiyo kwa hali halisi ya Tanzania.Na mwingine kasema Tanzania ni nchi fukara tu.Na hawajataja zawadi ya ajira kwa kijana Majaliwa.Nadhani hiyo ndiyo kubwa zaidi.Katambulika na kuwa "commissioned" na muheshimiwa Rais.Hilo hawajaliona?
 
VIONGOZI WA TZ WABINAFSI SANA SI WANGEMPA KITU AMBACHO KINGEBADILISHA MAISHA YAKE , MBONA WAKINA BAKHERESA WANAWAPA VIWANJA BURE WAFANYIE MAMBO YAO , SASA 1M IYO SI PESA YA KULA CHUO PER MORTH YA MTOTO WA MAJALIWA😀😀
 
Namba zake ziwekwe wazi sisi raia tumchangie kadri tunavyotaka
Ww uangaike kumchangia 😀😀si serikali inapesa za kutosha hadi za kuzindua matokeo ya sensa kwa nini wasimpe kiwanja, au wamjengee nyumba kabisa na capital ya business, au mpaka mtu amtukane Mbowe ndo afanyiwe ivyo, viongozi wetu ni wabinafsi sana, majaliwa miyeyusho sana
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji26][emoji26][emoji26][emoji24] duh!
 
They laugh about the amount given to the guy because to them, the value of human life is compared to the amount of money given to the guy. No amount of money would be equivalent to the lives of the 19 dead people and the 24 lucky survivors. When Majaliwa tried to rescue his fellow citizens, I am sure, money was not in his mind. His braveness, I believe, is the reason behind our dear President's directive to the Ministry of Home Affairs to have him trained and employed in the Fire Brigade Services. It is true about the power of money, but no, money isn't everything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…