South Africa wanavyotunanga kwa zawadi ya shujaa Majaliwa

Wamesema yote hayo kasome link ipo.
 
Angepew pia bata Tuzo/[emoji966] ya heshima kutok ofis ya Rais
 
Thamani ya zawadi aliyotoa Rais ni nishani ya ushujaa sio kubet.Ajira na kifuta jasho ni tosha na wengine walioguswa kama Rais wa Yanga wanakaribishwa.Kuajiriwa Jeshini Ina maana ni heshima na atakula hadi uhai wake utakapokoma.Angaza kuna watu waliajiliwa tangu KAR wanakula kiinua mgongo cha maana ni kumwombea maisha marefu na nidhamu kazini.
 
Yeye wala hakusaidia ili apate malipo yoyote. Hata asingepata wala isingemuathiri chochote.
Ningeshangaa kama viongozi wangemtumia kujimwambafy wenyewe ila kwa kilichotokea mbona hakina ubaya.
 
Umesoma hoja ndugu, au umekurupuka? Mimi nineonyesha kinachoongelewa na mataifa mengine, sujudu iko wapi hapo? Acha kukimbia kivuli chako, zawadi imetolewa hadharani, hivyo wao kujadili wala sio dhambi. Jifunze kuelewa mada kabla ya kutoa maoni
 
Kweli nimekurupuka.
Nipe ushauri mkuu..
 
Kama ingepigwa harambee pale uwanjani bila shaka dogo angeondoka na milioni za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…