SOWAH: Kucheza Yanga ni jambo la muda tu!

SOWAH: Kucheza Yanga ni jambo la muda tu!

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88

"Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi.
Yanga ni nyumbani, hata nilivyopata ofa ya Singida niliwaambia. Rais wa Yanga ni kama baba, najua alichofanya kwangu na kutengeneza maisha yangu, mimi sio mtanzania ila napenda namna watanzania wanavyowapokea watu, ni jambo la muda ipo siku nitacheza Yanga"

Jonathan Sowah 🇬🇭 katika Ligi Kuu ya Nbc 2024-25 hadi sasa

🏟️ Mechi: 3️⃣
⏰ Dakika: 2️⃣6️⃣0️⃣
⚽️ Magoli: 2️⃣

🎙️ Jonathan Sowah
Credit @crownfm

IMG_2714.jpeg
 
Wakuu

Mshambuliaji wa Singida Black Stars amesema;

"Yanga ni kama nyumbani kwangu hata Singida walipokuja niliwaambia hivyo, yule Rais wa Yanga ni kama Malaika kwangu ni Baba kwangu na nafahamu amenisaidia kiasi gani japo mimi sitokei Tanzania, yule ni Binadamu bora sana na naamini siku moja nitacheza Yanga hilo halina shaka ni suala la muda tu"
 
Eleweni hiyo kauli ya " Rais wa Yanga ni kama baba, najua alichofanya kwangu na kutengeneza maisha yangu....."

Nilisema kipindi kileee uto walimuhonga huyu jamaa ikiwemo ahadi ya kusajiliwa watu wakabisha. Huwa najua ninachokiongea 99.999%

Swali gumu lipe muda utapata majibu.
 
Rage ajengewe sanamu, hoja ya hongo imetoka wapi hapo!?
 
Kila mchezaji ndoto yake kubwa ni kucheza Yanga
 
Eleweni hiyo kauli ya " Rais wa Yanga ni kama baba, najua alichofanya kwangu na kutengeneza maisha yangu....."

Nilisema kipindi kileee uto walimuhonga huyu jamaa ikiwemo ahadi ya kusajiliwa watu wakabisha. Huwa najua ninachokiongea 99.999%

Swali gumu lipe muda utapata majibu.
Kwaiyo team kumsajili mchezaji ni hongo
Kweli Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
 
Nendeni ofisi za TAKUKURU watawapa somo jinsi mazingira ya hongo na rushwa yanavyoweza kutengenezwa.
Anza wewe kwanza TAKUKURU ukashtaki kuwa umeona mazingira ya hongo na rushwa na una ushahidi wa kutosha.
 
Baada ya kufeli libya singida wakaliokota kapi hilo jonathan sowa. Angekuwa na uwezo asingecheza singida hata siku moja.
 
UtopwiX Chukuweni shudu hilo. sipati picha huku jonathan sowah, kule chama na jonathan imbongolongondo. weweeee balaa tu
 
Baada ya kufeli libya singida wakaliokota kapi hilo jonathan sowa. Angekuwa na uwezo asingecheza singida hata siku moja.
Wewe utakuwa ni Meneja wa Steven Mukwala na Joshua Mutale bila shaka. Siyo kwa povu hili.
 
Back
Top Bottom