Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88
"Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi.
Yanga ni nyumbani, hata nilivyopata ofa ya Singida niliwaambia. Rais wa Yanga ni kama baba, najua alichofanya kwangu na kutengeneza maisha yangu, mimi sio mtanzania ila napenda namna watanzania wanavyowapokea watu, ni jambo la muda ipo siku nitacheza Yanga"
Jonathan Sowah 🇬🇭 katika Ligi Kuu ya Nbc 2024-25 hadi sasa
🏟️ Mechi: 3️⃣
⏰ Dakika: 2️⃣6️⃣0️⃣
⚽️ Magoli: 2️⃣
🎙️ Jonathan Sowah
Credit @crownfm