Spaghetti ya leo fupi!

Spaghetti ya leo fupi!

watu8: hebu malizia mapishi ya hiyo kitu mkuu. Ila wewe noma college ulikuwa na oven ya nini sasa mkuu??
Asprin : babu naona unanchonganisha na sakapal, unajua ndo huwa tunavutaga naye bangi? #SInA MAANA HIYOOOOOOO
Shixi889: haha mkuu ni balaa kufikiria cha kupika aisee..ila ngoja nkuulize swali..una maanisha ushaoa? Na je, ukishaoa ndo mwisho wa kupika? maana nnaeza nisioe kwa hali hiyo...i love cooking..ts one of my hobbies.
Mamndenyi na Evelyn Salt : shukeni basi hivyo mnavyojua kupika na mm nipaje ujuvi zaidi...
 
Last edited by a moderator:
Kakangu mdogo, tatizo tulikudekeza sana.
Kuna spagheti flani zimeandikwa 'instant noodles' zinapatikana supermarket. Hebu zicheki na ni portion ya mtu mmoja tu. Uzuri wake zinakuwa na flavour kapakti kadogoo. Ukichemsha tu unachuja maji unatia flavour kitu mwake.

As of kipimo hata mie huwa nabahatisha tu. Na utamu ukizidi wengine hupikiwa supplimentary juu ya uroho. Ila kuwaweza nahakikisha wanapata matango ya kutosha kwenye sahani.

hizi ndio style za mboga milioni ili usimalize biliani what a trick..
 
watu8: hebu malizia mapishi ya hiyo kitu mkuu. Ila wewe noma college ulikuwa na oven ya nini sasa mkuu??
Asprin : babu naona unanchonganisha na sakapal, unajua ndo huwa tunavutaga naye bangi? #SInA MAANA HIYOOOOOOO
Shixi889: haha mkuu ni balaa kufikiria cha kupika aisee..ila ngoja nkuulize swali..una maanisha ushaoa? Na je, ukishaoa ndo mwisho wa kupika? maana nnaeza nisioe kwa hali hiyo...i love cooking..ts one of my hobbies.
Mamndenyi na Evelyn Salt : shukeni basi hivyo mnavyojua kupika na mm nipaje ujuvi zaidi...

hana tofauti na wale wenye ricecooker watu8 bana..
 
Last edited by a moderator:
Mapishi ya Ndizi za nazi na utumbo

Mahitaji
Ndizi mshale 10
Utumbo wa ng'ombe 1/2 kilo
Nazi ya kopo 1
Nyanya 1
Kitunguu kikubwa 1
Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chakula
Olive oil kiasi
Limao 1
Chumvi
Curry powder 1 kijiko cha chai
Turmaric 1/2 kijiko cha chai
Coriander ya powder 1/2 kijiko cha chai
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Pilipili kali nzima (usiipasue)

Matayarisho
Safisha utumbo kisha uweke ktk pressure cooker pamoja na chumvi kiasi, limao, tangawizi, swaum na maji kiasi kisha uchemshe kwa muda wa nusu saa.

Baada ya hapo menya ndizi kisha zikate vipande vidogo kiasi ili ziwahi kuiva, kisha ktk sufuria ya kupikia tia vitunguu na nyanya kisha ndizi kwa juu yake na supu ya utumbo kiasi chumvi kidogo na mafuta kiasi kisha bandika jikoni na uchemshe mpaka ndizi zikaribie kuiva.

Zikisha karibia kuiva tia utumbo na spice zote, pilipili nzima na tui la nazi kisha changanya vizuri na uache vichemke mpaka ndizi na tui la nazi vitakapoiva na rojo ibaki kiasi. Baada ya hapo Ndizi zako zitakuwa tayari kwa kuliwa.

Ha ha ha haya fasta tuwapikie Mentor na Asprin
[h=3][/h]
 
Baada ya msosi matunda.........

ACaJYC0Yz8K2AAAAAElFTkSuQmCC

Mahitaji....(Kwa mtu mmoja)
Ndizi mbivu 1
parachichi (avocado) 1/2
kipande cha tikiti kidogo (water melon)
kipande kidogo cha nanasi
kipande kido cha embe lililoiva vizuri
sukari kijiko kimoja cha chakula
maji robo kikombe

jinsi ya kutengeneza....
.kata kata matunfa yako katika vipande vidogo vodogo uchanganya katika bakuli moja (sio kwenye sufuria au chombo cha aluminium yanakuwa meusi)
.weka suraki katika mchanganyiko wa matunfa na uchanganye vizuri
weka maji nauendelee kuchanganya hadi matunda yachanganyikane vizuri
Matunda yako yapo tayari kwa kuliwa

SxkZkVE2MutiySUx6f8vggE 9S4UWeWpfS2wq7LLwDYpU9t4RzK7cqpf4fkDEZxZN6sNcAAAAASUVORK5CYII=

CC: Asprin

Karibuni chakula.....
kwa hisani ya Mamndenyi na Evelyn Salt
 
Naogopa kuvimbiwa mie......
 
Kakangu mdogo, tatizo tulikudekeza sana.
Kuna spagheti flani zimeandikwa 'instant noodles' zinapatikana supermarket. Hebu zicheki na ni portion ya mtu mmoja tu. Uzuri wake zinakuwa na flavour kapakti kadogoo. Ukichemsha tu unachuja maji unatia flavour kitu mwake.

As of kipimo hata mie huwa nabahatisha tu. Na utamu ukizidi wengine hupikiwa supplimentary juu ya uroho. Ila kuwaweza nahakikisha wanapata matango ya kutosha kwenye sahani.

Dada taratibu

Spaghetti na noodles wapi kwa wapi?!
 
watu8: hebu malizia mapishi ya hiyo kitu mkuu. Ila wewe noma college ulikuwa na oven ya nini sasa mkuu??

College kulikuwa na majiko na ovens pia...

Mahitaji...
Andaa vitu vyako kama ifuatavyo Spaghetti, Chumvi, Indian Chicken Curry(kama hauna hiki tumia mchanganyiko wa unga wa pilau), Kitunguu maji, Saumu, Karoti, Hoho, Mafuta, Nyama iliyosagwa au iliyokatwa vipande vidogo, Cheese, Nyanya ya kopo.

Namna ya kupika...
1. Chemsha spaghetti zako kwenye sufuria isiyoweza kuziunguza...mara nyingi huwa nachemsha kwa kutumia Rice Cooker au Pressure Cooker. Baada ya kuiva ipua na weka pembeni.
2. Weka mafuta kwenye kikaango hadi yapate moto.
3. Anza kwa kuweka vitunguu maji kaanga ila hakikisha havibadiliki rangi kuwa brown, then weka Indian Chicken Curry kaanga, mwisho vitunguu saumu.

4. Baada ya mchanyato huo kukaangika vizuri, weka nyama ya kusaga(hakikisha haina maji hata kidogo), then ikaange na viungo kwa pamoja katika moto mdogo hadi iive.

5. Weka Nyanya ya kopo, Hoho na Karoti (Kuepuka kuiva sana, Karoti na hoho huwekwa mwishoni).

6. Mwagia spaghetti zako ndani ya mchanganyiko huu, Weka chumvi kiasi ukitakacho na kisha koroga mchanyato huo kufanya Nyama na Spaghetti zipate kuchanganyika...acha motoni kwa muda kidogo...ukisharidhika kuwa umeiva uipue.

Hatua ya mwisho...
1. Washa Oven yako kwa joto la kutosha kama 90 - 100 C...acha lipate joto kwa dakika km 5
2. Weka mchanyato huo wa spaghetti na nyama katika sahani bapa zile za kwenye oven, kama hauna basi tafuta sahani yoyote pana ya bati....hakikisha unazitandaza.
3. Baada ya hapo, juu yake weka cheese iliyokatwa vipande vidogo(kupata vipande hivi unaweza kuikuna cheese kwenye kile kidude cha kukwangulia karoti).
4. Weka mjumuiko huo ndani ya Oven ili kuruhusu cheese iyeyuke juu ya spaghetti...baada ya dakika 20 toa msosi wako utakuwa tayari.

Mtu kama mimi huwa naweka muda mrefu hadi cheese inapobadilika rangi na kuanza kuwa ya kahawia...hapo huwa najua mambo ipo tayari kuliwa.

Hii aione Paw, maana niliona like ​yake kwenye ile post yangu ya awali...
Pia Elizabeth Dominic ndio darasa limeanza hivyo mama, Dr Preta hebu nawe kodoa macho hapa...

Mentor wakati mwingine unionee huruma...kuandika kitu ndefu kama hii inachosha teh teh!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom