Special Agent Alex Mahone alimzidi akili Michael Scofield ila kwakuwa Michael ndio star wa Series ilibidi apewe ushindi

Special Agent Alex Mahone alimzidi akili Michael Scofield ila kwakuwa Michael ndio star wa Series ilibidi apewe ushindi

Michael alikuwa na akili ila hakuwa na nguvu
Mahone alikuwa na nguvu na akili kwa pamoja
Alimwambia Michael kuwa tofauti Yao ni kuwa Mahone anaweza kuua ila Michael hawezi kuua
Alinipa psychology Moja hadi Sasa naielewa "fear is a fundamental principle of every human" hakuna binadam asiyeogopa
 
Fear is what makes human human
 
Wakuu nimeirudia tena series ya Prison Break.

Kwenye season 2 anaibuka Special Agent wa FBI, Alexander Mahone kusaidia zoezi la kuwakamata wafungwa 8 waliotoroka gereza la Fox River.

Jamaa alikuwa na akili na daima alikuwa mbele ya muda sana. Nadiriki kusema jamaa alimzidi Michael Scofield kiuwezo.

Ila kwakuwa Michael Scofield ndiye star wa series ilibidi tu Mahone atafutiwe udhaifu ili mwisho wa siku ushindi uende kwa Michael Scofield.
Na udhaifu wenyewe ni yale madawa aliyokuwa anatumia.

Nahitimisha, Mahone ni hatari sana ila Michael alibebwa na director.[emoji1787][emoji1787]
Mahone Alexander noma sana huyu chalii
20250118_090349.jpg
 
Back
Top Bottom