Special Agent Alex Mahone alimzidi akili Michael Scofield ila kwakuwa Michael ndio star wa Series ilibidi apewe ushindi

Special Agent Alex Mahone alimzidi akili Michael Scofield ila kwakuwa Michael ndio star wa Series ilibidi apewe ushindi

Naam anaitwa Norman "Lechero" St. John ni mdosi kweli kweli alikuwa anauwezo wa kuagiza hadi mbususu za mademu wa nje na zikamfikia hadi kwenye dojo lake pale sona
aliyeangukiwa na kifusi ni sami/sammy, lechero aliuawa na tbag kwa kutumia pillow
 
Wakuu nimeirudia tena series ya Prison Break.

Kwenye season 2 anaibuka Special Agent wa FBI, Alexander Mahone kusaidia zoezi la kuwakamata wafungwa 8 waliotoroka gereza la Fox River.

Jamaa alikuwa na akili na daima alikuwa mbele ya muda sana. Nadiriki kusema jamaa alimzidi Michael Scofield kiuwezo.

Ila kwakuwa Michael Scofield ndiye star wa series ilibidi tu Mahone atafutiwe udhaifu ili mwisho wa siku ushindi uende kwa Michael Scofield.
Na udhaifu wenyewe ni yale madawa aliyokuwa anatumia.

Nahitimisha, Mahone ni hatari sana ila Michael alibebwa na director.🤣🤣
Kwangu pia Mahone alikua real zaidi ya Scofield, naona alistahili pia kupata position ya muhimu zaidi kwenye 24 karibu karibu na Jack Bauer sijui kwanini hawakumchukua.

Scofield naonaga kama ni roboti fulani.
 
  • Fernando Sucre: I got a question for you fish. What if we do all this work and the pipe is ten feet that way?
  • Michael Scofield: It won't be.
  • Fernando Sucre: You got X-ray vision?
  • Michael Scofield: I calculated the drill point coordinates, hid them in my tattoo, and then projected them back onto the wall. Everything's been worked out so the image hits the right spot. It's just math.
  • Fernando Sucre: What if your math is wrong?
  • Michael Scofield: You'll drill one of a dozen gas lines behind the wall. There'll be an explosion and we'll be burned alive.
  • Fernando Sucre: But your good at math, right?
 
Naam anaitwa Norman "Lechero" St. John ni mdosi kweli kweli alikuwa anauwezo wa kuagiza hadi mbususu za mademu wa nje na zikamfikia hadi kwenye dojo lake pale sona
Sio lachero,ni Sammy yule alokua msaidizi wake.alimgeuka lachero baada ya kupokea bastola basi akapindua mamlaka ya lachero akitaka atawale yeye na wenzie nyuma yake.bila kujua lachero tayari kaungana na akina Michael Wana sehemu Wana mpango wa kutoboa watoroke.
Si ndio Sammy akawavamia Kwa nguvu ya pistol akawalazimisha wampeleke akaone wanafanya Nini,kuona pango Kwa juu linatobolewa akapanda carelessly kifusi kikamporomokea ye na wapambe wake
Ila aliefanya haya yote ni Michael Kuna bolt ndefu anaitumia kushikilia mfuniko wa tobo aliitoa makusudi 🤣
 
Naam sema Michael jamaa ana mipango sana
 
weeping may endure for a night but joy cometh in the morning.

hii bible verse ndo ilimuingiza tbag kwenye 18 za fake bible seller.
Bible seller alikuwa anadead bila huruma ya yule manzi na tbag nae nahisi alikuwa kesha fall thats akashindwa kumaliza mchezo
 
Bible seller alikuwa anadead bila huruma ya yule manzi na tbag nae nahisi alikuwa kesha fall thats akashindwa kumaliza mchezo
Tbag pendapenda hataki kupitwa, hata kule sona alipita na demu wa lechero baada ya kutoka. ila kale katoto nako kalikuwa kanampa moyo wa huruma.
 
Mwenye akili ni dairector wa move na mtunga story aao wakina maiko,t bag,mahone wore walikuwa wanafata maelekezo
Sure mtunzi ndiyo engineer wa yote hayo hao wengine wafata maelekezo tu tuone nini kilitakiwa kufanyika in action kutokana na script..
 
Back
Top Bottom