Special Agent Alex Mahone alimzidi akili Michael Scofield ila kwakuwa Michael ndio star wa Series ilibidi apewe ushindi

Special Agent Alex Mahone alimzidi akili Michael Scofield ila kwakuwa Michael ndio star wa Series ilibidi apewe ushindi

Si unaona hata Bellick alinyooka alikua kama chokoraa katepeta na jeuri zake zilimuisha.. kule kulikua hakufai.
Mama's Boy yule ila nilipenda transformation yake, alikuja kuwa Real dude.....
 
Mwenye akili ni dairector wa move na mtunga story aao wakina maiko,t bag,mahone wore walikuwa wanafata maelekezo
Kwa umri ulionao umeshindwa kabisa kutambua hapa tunajadili entertainment.

Don't take life too seriosly, it's not permanent.
 
Hii series lile gereza la kule America kusini lenye jina la sona sio powa yaani hata panya akipita kwenye senyenge anakula shaba
Scofield mwenyewe alichoka, maana akimlisha panya chocolate, sasa askari wakasikia kishindo chini kumulika wakamuona panya, wakamtia shaba. Scofield akaona hapa pagumu maana ukiingia tu lile eneo wanaloita no man land askari hawakukosi.
 
Lile eneo ni hatari mno mkuu
 
Back
Top Bottom