Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa"

Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Gwaji Miuno bana
 
Gwajiboiii

Daah! kweli siasa sio mahubiri, CCM wamekuteua kwa sababu una mtaji wa vyombo vya muziki, haya leta wanakwaya Kawe😀😀
 
Huyo Gwajima leo nimeona mahali anahamishia kanisa lake Tegeta, nikasema huyu kweli hakutegemea kupitishwa, siku akiukosa huo ubunge sijui atalirudisha hilo kanisa ubungo lilipokuwa? jamaa msanii sana.
 
Wewe ni member wa NHIF?
Je sio kweli kwamba kuna baadhi ya magonjwa hayaytibiwa kwa bima? Unajidai unajuaa? Kumbe zuzu flan hivi
Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…