Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Hatutaki madrasa za watoto wetu ziwe Sunday schools hapana mnataka kuua uislamu wetu?hatutaki mbunge tapeli anayetumia bibilia kutapeli watuGwajima atamnyoosha Mdee Kawe
Hatutaki mbunge mzinzi huku kawe. Kawe siyo gongo la mboto.