Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Haise naona mwaka huu hali si nzuri kwa upande wa kijani! kuanzia kwa mbwana mkubwa mpaka madiwani
 
Anaempigia kampeni Gwajima siishii tu kuhoji akili yake bali ata msimamo wa roho yake kwenye kweli!!!

Gwajima ni tapeli na muhuni wa kimataifa. Hakuna maelezo zaidi juu ya Gwajima zaidi ya hayo!!!
Lord denning, mambo ya kwenye roho za watu mwachie Mungu mwenyewe.
1 Samuel 16:7
 
Lord denning, mambo ya kwenye roho za watu mwachie Mungu mwenyewe.
1 Samuel 16:7
Hata kwenye biblia wamesema juu ya manabii wa uongo!!! Gwajima ni conman wa kimataifa. Huyu hafai hata kuruhusiwa kuendesha lile kanisa lake tu la misukule. Achilia mbali kuwa mbunge
 
Kiongozi mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima na mgombea ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM askofu Gwajima alitembelea kempu ya kupakia mchanga na kuwasaidia kupakia.

Vile vile alifanikiwa kuwatembelea wajasiriamali wauzaji wa samaki kijiweni na kujipatia kitoweo cha samaki (ile ya kurumangia ugali)na kula hapo hapo.
My take
Awamu hii tutaona mengi.
View attachment 1559103
View attachment 1559107
Chepe lenyewe hajui kushika
Na kwnza syo mzoefu wa kupiga chepe
Inaelekea Kazi ngumu hafanyagi, ona chepe analorusha hata halifiki kwenye gari
Vituko tu hapo

Ova
 
Anaempigia kampeni Gwajima siishii tu kuhoji akili yake bali ata msimamo wa roho yake kwenye kweli!!!

Gwajima ni tapeli na muhuni wa kimataifa. Hakuna maelezo zaidi juu ya Gwajima zaidi ya hayo!!!
Hana hadhi ya kuwa mhuni wa kimataifa...wahuni wa kimataifa ni smart upstairs...huyo ni level ya buza

Jr[emoji769]
 
Chepe lenyewe hajui kushika
Na kwnza syo mzoefu wa kupiga chepe
Inaelekea Kazi ngumu hafanyagi, ona chepe analorusha hata halifiki kwenye gari
Vituko tu hapo

Ova
Kiki hizo bwashee
 
Hata kwenye biblia wamesema juu ya manabii wa uongo!!! Gwajima ni conman wa kimataifa. Huyu hafai hata kuruhusiwa kuendesha lile kanisa lake tu la misukule. Achilia mbali kuwa mbunge
Unabii unatoka kwa Roho wa Mungu Kwahiyo wa uongo anamjua yeye. Kwenye Ubunge wana Kawe wenyewe wataamua. Mbona huo Uconman haukusemwa enzi alipokuwa mpiga debe wa Mdee?!?
 
Huyu ni kiboko mpenda ngono akipita huyu atawapiga UNO wajasiriamali wote wa kiki jimbo LA kawe, maana kondoo kashawamaliza
Na huko bungeni wale wabunge viti maalum walivyosimamia ukucha jamaa atahamia kabisa[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mkuu@bagamoyo muwekee jamaa ile clip Gwajiboy akifufua mtu aliyekufa kwa siku mbili alafu akaenda kanisani na nguo za kanisani [emoji23][emoji23]

Gwajima ni tapeli na muhuni wa kimataifa. Hakuna maelezo zaidi juu ya huyu mtu zaidi ya haya!!
Mi nachokumbuka kuna siku kapelekewa maiti kweli eti aifufue ikakaa hap asubuhi hadi jioni wakakesha nayo ile kufika alifajiri wale waombaji mmoja moja walitimka kukimbia harufu
 
Back
Top Bottom