Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Teh teh teh [emoji1787][emoji1787] [emoji1787], hawa wanasiasa wanarubuni raia kama watoto wadogo, cha ajabu na raia wanaangukia kwenye hadaa zao.
Hahah na kura zetu tutawapa kwa wingi tukisema jamaa ni wanyenyekevu sana.
 
Mbona hatujawahi kumwona akiwakumbuka hawa wavuja jasho before? Au anataka kuwatumia tu kama daraja ili aupate ubunge?

Sidhani mbinu hii itafanikiwa!!
 
Hayo majamaa akili zinafanana mkuu. Hata usishangae, Sio kuvaa tu chupi kichwani mpaka vikuku yanavaa shingoni siku hizi.
 
Kashindwa kutosheka na huduma ya kumtumikia Mungu sasa ngoja apate tabu na vitu vya mwilini.
 
Komenti za watu wanamkandia tu hapa..😂

Jamani tutafuteni maisha hapo nae anatafuta ulaji tuacheni maneno maneno.
 
Ajabu nini sasa?
Ili uitwe binadamu lazima uwe unabadilika kulingana na mazingira.

Ukishindwa wewe huna tofauti na nyumbu wanao kimbia kimbia tu.

Hongera Gwajima
 
Amezoea kondoo wake kumsujudia na kupongeza na vigeregere na makofi na nyimbo za mapambio.

Lkn alicho kutana nacho hapa kawe kwenye kampeini kinamfanya awaamkie hata wanafunzi wa shule akidhani ndiyo kuwashawishi wamkubali.

Tazama video akiwaamkia wanafunzi na mabinti wa mama nitilie.
 
Back
Top Bottom