Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Kwenye ulimwengu wa roho hii ishara ya kukataliwa kama wanyama nao wameshtukia uzinzi wa gwajima itakuaje Kwa wapigakura?
 
Katika hali ya kushangaza mabango ya mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm Josephat Gwajima yamevamiwa na mbuzi na kutafunwa vibaya , ikiwa ni ishara kuwa hata mbuzi wamemkataa .
IMG_20200919_183733.jpg
 
Habari kamili hii hapa
 
Kuna maeneo unaweza enda ukafikiri unaenda kujitwalia umaharufu, kinyume chake ukatoka na aibu.

Huyu Gwajima ajitafakari, hata wanyama mbuzi hawamtaki.

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Mnamcheka Gwajima kwa kipande hicho cha video ambacho hakionyeshi mwisho waliishia vipi katika maongezi yao, yawezekana aliweza kumshawishi mzee na kukubaliana naye.

Hiki kipande mmenyofoa hakitoi picha halisi nini kiliendelea baina ya watu hawa wawili.
 
Gwajima ilibidi aondoke tu maana mzee kamfukuza kinyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom