King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
Kweli kabisaaa Kama alivyoweza kumshawishi huyu kondoo akapiga finishing .Mnamcheka Gwajima kwa kipande hicho cha video ambacho hakionyeshi mwisho waliishia vipi katika maongezi yao, yawezekana aliweza kumshawishi mzee na kukubaliana naye.
Hiki kipande mmenyofoa hakitoi picha halisi nini kiliendelea baina ya watu hawa wawili.
Huyo mzee ametisha sanahahahaha jasho linamtoka, kofia inambana.
maelezo hayaeleweki..
mwananchi anapiga spana balaa
Ilibidi akimbie tuUnajauje mwisho wake ulikuwa mmbaya zaidi ya hiki tulichokiona?
Kazoea kuwadanganya wafuasi wake ingawa wengine wanajua kabisa kuwa anawadanganya lkn kamwe hawawezi kumbishiaTena anadai PhD yake alisoma nje ya nchi sikumbuki hata alitaja nchi gani,
Mnamcheka Gwajima kwa kipande hicho cha video ambacho hakionyeshi mwisho waliishia vipi katika maongezi yao, yawezekana aliweza kumshawishi mzee na kukubaliana naye.
Hiki kipande mmenyofoa hakitoi picha halisi nini kiliendelea baina ya watu hawa wawili.
Nikweli atashinda sana njaa, lkn kura zoote ni kwa sauti ya zege Halima MdeeWaswahili watamsumbua sana Gwajima..... Lakini mwisho atashinda!
Hilo ni swali kwa asiyejitambua kama GwajimaMzee ana maswali ku¿husu bei ya Sukari.Je Mdee ana majibu yake?
Dada Mabel mbona zamani ulikuwaga na akili sana? Yaani unaona mgombea anavyovuja maji kila sehemu yenye tundu wewe unasema mjadala uliisha vizuri huo? Mzee kampiga 3-0Mnamcheka Gwajima kwa kipande hicho cha video ambacho hakionyeshi mwisho waliishia vipi katika maongezi yao, yawezekana aliweza kumshawishi mzee na kukubaliana naye.
Hiki kipande mmenyofoa hakitoi picha halisi nini kiliendelea baina ya watu hawa wawili.
Mbona mzee amehitaji majibu mazuri tu, bei ya sukari ni ya nchi nzima mbona upande mmoja wa nchi kuwe na bei nzuri kwa walaji na upande mwingine kuwe na bei nzuri kwa wauzaji? Kama majibu yake anasema ni kwa sababu Kawe wamekosa mwakilishi anayefaa kusemea suala hilo, kwani bei hiyo ipo Kawe peke yake au hata Kigamboni, Kinondoni na Segerea ambako wana wawakilishi kutoka CCM?Mnamcheka Gwajima kwa kipande hicho cha video ambacho hakionyeshi mwisho waliishia vipi katika maongezi yao, yawezekana aliweza kumshawishi mzee na kukubaliana naye.
Hiki kipande mmenyofoa hakitoi picha halisi nini kiliendelea baina ya watu hawa wawili.
Ataula wa chui.Habari kamili hii hapa
View attachment 1575103
Daaaaaa....uyo mama kwa cheo chake ndo wa kupiga magoti.
Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa"
Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
View attachment 1558610
View attachment 1562562
Shirika kubwa kama yaani litoe taarifa yenye spelling mistakes lufufu. Yaani waandike interno badala ya internal. Hiyo memo ni ya kugushi maana hata nembo haina. Yaani tamko muhimu na kubwa kama hilo litolewe kwenye karatasi isiyo na nembo. Kweli UKAWA mmekosa pa kuichafua serkali.