Woote tumemsikia Mh Rais jinsi alivyokiri kuwa Kawe iko nyuma sana kimaendeleo.
Ameeleza kwa ufasaha vile amnavyo mbunge anayeaga Halima Mdee alivyoshindwa kushirikiana na vyombo mbalimbali ili kuleta maendeleo Kawe.
Mh Magufuli vilevile ametonya juu ya utoro wa vikao vingi vya kibunge vyenye maamuzi ya kuomba maendeleo kisekta.
Huyo ndiye Halima Mdee, bingwa wa utoro kuwawakilisha wana Kawe bungeni.
Wana Kawe tusifanye kosa, chagua Gwajima.
Wengi wa watu wa Kawe wamewekeza kwa kujenga nyumba zao ambazo zinakosa thamani kwa kukosa miundombinu thabiti.
Nimefarijika mh Rais jana kaitaja hata barabara ninayoishi ambayo kwa muda mrefu imekuwa kero.
Wana Kawe chagueni Kawe kwa maendeleo.